Fabio Capello |
Russia inajipanga
kumwajiri Fabio Capello kuwa kocha mpya wa timu ya taifa ya nchi hiyo baada ya
makubaliano kati ya pande mbili hizo hii ni ikiwa ni kauli ya makamu wa rais wa
shirikisho la soka wa Russian (RFU) Nikita Simonyan.
RFU imekuwa
sokoni muda sasa kusaka kocha mpya tangu kuondoka kwa Dick Advocaat ambaye
ameelekea PSV baada ya kushindwa kufanya vizuri katika kampeni za Euro 2012.
miongoni mwa
wale waliopoa katika orodha ni pamoja na Pep Guardiola, Harry Redknapp, Marcelo
Bielsa na Capello huku RFU sasa ikionekana dhahiri kutaka kumpa kazi kocha huyo
mtaliano.
Cappelo
ambaye kwasasa ana umri wa miaka 66 alikuwa in charge katika benchi
la ufundi la England mpaka mqwezi February na alikuwa akisaka euro milioni €12 ili
kukubali kufanya popote. jukumu lake la kwanza ni kuhakikisha timu ya taifa ya
Russia inafuzu fainali za kombe la dunia 2014 nchini Brazil.
No comments:
Post a Comment