![]() |
Rio Ferdinand |
Meneja wa Manchester
United Sir Alex Ferguson amesema kuwa hatarajii tena kumuona mlinzi Rio
Ferdinand kuichezea timu ya taifa ya Uingereza.
Licha ya kuichezea
ya timu ya taifa michezo 81 mlinzi huyo wa kati aliachwa katika kikosi cha timu
ya taifa katika michuano ya mataifa ya Ulaya mwaka huu na meneja Roy Hodgson
alieendelea kupuuza uwepo wake ingawa mlinzi
Gary Cahill aliondolewa kikosini kufuatia kupata majeraha.
Hodgson alisisitiza
kuwa alichagua kikosi chake kwa kutegemea sababu za kisoka zaidi lakini Ferdinand
akajibu hoja ya kocha huyo kupitia mtandao wa kijamii wa twitter akisema kuwa
aliachwa kutokana na kuwepo kwa hali ya kutokuelewana kati ya mlinzi John Terry
na mdogo wake Ferdinand, Anton.
Wakati nahodha
Nemanja Vidic akijipanga kurejea katika kikosi msimu huu baada ya kuwa majeruhi
wa mguu muda mrefu msimu uliopita,Ferdinand anaonekana kuwa katika hali ya
upinzani mkubwa tofauti na msimu uliopita.
meneja wa Manchester

upinzani mkubwa toka kwa jmebe hilo tofauti na msimu uliopita.
No comments:
Post a Comment