Katibu Mtendaji wa
Baraza la Sanaa nchini(BASATA) Ghonche Materego(kushoto picha ya juu)
akimkabidhi bendera ya Taifa Mrembo wa Tanzania anayeshikilia taji la
Miss Universe 2012, Winfrida Dominic, kwenye ofisi za Baraza hilo jijini
Dar es Salaam jana. Mrembo huyo anaiwakilisha Tanzania kwenye fainali
za mashindano hayo nchini Marekani yanayotarajiwa kufanyika Desemba 19
mwaka huu. Picha ya chini, Materego akizungumza na mrembo huyo kabla ya
kumkabidhi bendera.
No comments:
Post a Comment