KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, August 8, 2013

RAIS WA MADRID AMETANABAISHA KUWA NYAMA NGUMU JUU YA USAJILI WA BALE BAADA YA MKUTANO WAKE NA MWENYEKITI MBISHI WA SPURS DANIEL LEVY .

Back: Gareth Bale makes his way to the Tottenham training ground on Wednesday morning
Gareth Bale akielekea katika mazoezi ya Tottenham jana asubuhi.

Gareth Bale
Wheeling in: Bale arrived in a Mercedes with his move to Real Madrid getting ever closer
Wheeling in: Bale arrived in a Mercedes with his move to Real Madrid getting ever closer

Rais wa Real Madrid Florentino Perez ameweka wasiwasi wake mpya juu ya uhamisho wa rekodi wa mshambuliaji Gareth Bale akisisitiza kuwa kiwango cha pauni milioni £85 zilizotangazwa na klabu ya mshambuliaji huyo Tottenham ni kikubwa mno kwa winga huyo.

Baada ya mkutano wake na mwenyekiti wa Spurs Daniel Levy mjini Miami Levy ambaye anaonekana kuwa ni mgumu juu ya mustakabali wa Bale, Perez amenukuliwa akisema.

'To pay €100million (£85m) for Gareth Bale seems a lot to me.'

Madrid walikuwa wanaaminika kuwa tayari kuweka rekodi nyingine ya dunia katika msimu huu wa uhamisho wa wachezaji na kuivuka rekodi yao ya mwaka 2009 walipomchukua Cristiano Ronaldo kutoka katika klabu ya Manchester United.

UHAMISHO WA BALE UTAIGHARIMU MADRID £200m

Uhamisho wa rekodi wa Bale kuelekea Real Madrid endapo ungefanikiwa utakuwa unavuka na kuigharimu klabu hiyo kiasi cha pauni milioni £200 endpo itajumuisha ada ya uhamisho, mshahara na gaharama za wakala.
 

Mwenyekiti wa Tottenham Daniel Levy amekuwa akisisitiza kuwa thamani ya mshambuliaji huyo raia wa Wells si pungufu ya pauni milioni £105.

 Baada ya hapo kuna gharama nyingine ya kulipwa kwa watu wengine wa kati katika mpango huo ikiwa ni pamoja na wakala wa mchezaji ambayo inafikiriwa kufikiwa mamilioni ya pauni.

Mshahara wa Bale ambao utapanda na kufikia pauni £150,000-kwa wiki baada ya kukatwa kodi unakadiriwa kufikiwa £7.8 kwa kila msimu. Mkataba uliopendekezwa ni wa miaka sita ambao ni sawa na malipo ya pauni milioni  total pay day of £46.8million.


Wakati kiwango cha kodi nchini Hispania kikisimama kwa asilimia 52 hii ikiwa na maana ziada nyingine ya pauni milioni £48 zitatolewa katika mjumuisho wa malipo halisi ya Bale ambayo yatasimamia karibu pauni milioni £94.8 jumla.
 

Hii ina maana kuwa kabla ya malipo ya hayajapitishwa gharama yote kwa ujumla kwa kikosi hicho cha itakuwa ni pauni milioni  £199.8.
Lakini habari za hivi punde kutoka kwa Perez zimeonyesha wasiwasi juu ya mpango huo kufikiwa kama ilivyodhani wiki iliyopita.

Lakini pia kwa mahesabu yoyote yale, Bale anaonekana huenda pia akaelekea katika mji mkuu wa Hispania kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili, licha ya kusaini mkataba mpya na Spurs majira ya kiangazi yaliyopita.
Tottenham wanajaribu kuwalazimisha Madrid kulipa pesa taslimu huku Levy akiaminika kutaka pauni milioni £105 kwa mchezaji huyo bora wa tuzo ya PFA msimu uliopita na mchezaji chipukizi bora wa mwaka huu (Young Player of the Year.)
Bosi wa Madrid Carlo Ancelotti amegoma kuongelea chochote juu ya jaribio la klabu yake kutaka kumsajili Bale baada ya meneja wa Tottenham Andre Villas-Boas kuweka mambo hadharani wiki iliyopita kwamba walikuwa katika mazungumzo katika kujaribu kufikia muafaka juu ya mshambuliaji huyo.
On his way? Bale is moving ever closer to to Real Madrid, and could cost as much as £105million
On his way? Bale is moving ever closer to to Real Madrid, and could cost as much as £105million
Real money: Real Madrid president Florentino Perez wants to pay 'only' £100million for the Welsh star
Real money: Real Madrid president Florentino Perez wants to pay 'only' £100million for the Welsh star.

Carlo Ancelotti
Bale's new boss? Real Madrid coach Carlo Ancelotti refused to discuss the transfer after angering AVB (below)
Andre Villas-Boas, Tottenham manager
Timing: Spurs' Twitter page before (top) and the new version, without Bale (below)
Timing: Spurs' Twitter page before (top) and the new version, without Bale (below)

No comments:

Post a Comment