TIMU ya
Yanga leo imeikandamiza bao 1-0 timu ya 3 Pillars kutoka nchini Nigeria katika
mchezo wa kirafiki uliopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Bao la
mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara limefungwa na mshambuliaji
aliyesajiliwa kutoka Mtibwa Sugar, Hussein Javu kipindi cha kwanza.
(PICHA NA RICHARD BUKOS)
No comments:
Post a Comment