Ivory Coast inayopewa nafasi kubwa ya kutwaa taji la mataifa ya Afrika kwa mwaka imefakiwa kwenda sare ya mabao 2-2 baada ya kufanikiwa kusawazisha mabao yote mawili ya Algeria na kuongoza kundi D.
Mabao yote mawili yamepatikana ndani ya dakika 16 za mchezo baada ya mabao ya 6 kupata bao la uongozi kunako dakika ya 64 likifungwa na Sofiane Feghouli
aliyeingia uwanjani kuchukua nafasi ya Ryad Boudebouz aliyekosa penati katika kipindi cha kwanza.
Dakika 6 baadaye Algeria waliandika bao la pili lililofungwa na Hilal Soudana kwa kichwa baada ya kupokea pasi ya Feghouli kutoka wingi ya kulia.
Didier Drogba, the Ivory
Coast captain, was back to his best as he inspired a comeback from two
down against Algeria
Goli la kwanza: Sofiane Feghouli (kushoto) akishangilia baada ya kufunga goli la uongozi la Algeria dakika ya 64.
Ivory Coast ambao walikuwa tayari wameshafuzu kabla ya mchezo huo walifanikiwa kuandika bao la kwanza kunako dakika ya 77 likifungwa na Didier Drogba kwa kichwa baada ya kuwazidi kuruka walinzi wa Algeria na kuupiga mpira kwa kichwa na kuzama wavuni.
Ivory Coast walisawazisha bao hilo kupitia kwa Wilfried Bony
No comments:
Post a Comment