KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, January 28, 2013

PEP GUARDIOLA KUKABIDHIWA PAUNI MILIONI 240 KUJENGA KIKOSI CHA BAYERN MSIMU UJAO ANATAKIWA SUAREZ NA FALCAO..

  Waiting in the wings: Guardiola takes over at Bayern in the summer

Bayern Munich imejipanga kumpatia Pep Guardiola pauni milioni £240 katika kujaribu kutengeneza kikosi cha timu hiyo kwa ajili ya msimu ujao na taarifa zinasema mchezaji ambaye amepewa nafasi ya kwanza ambaye amelengwa ni mshambuliaji wa Liverpool Luis Suarez.
Bosi huyo wa zamani wa Barcelona ataanza kazi rasmi ya kukinoa kikosi cha timu hiyo baada ya mwaka mzima kujiweka pemben Roman Abramovich wa kujiunga na mabingwa hao soka barani Ulaya Chelsea. 


Gazeti la kifaransa la L’Equipe limeripoti kuwa klabu hiyo inamtaka Suarez na mshambuliaji wa Atletico Madrid Radamel Falcao.
Suarez kwasasa anaendelea na mkataba Anfield mpaka mwaka 2018 na inaarifiwa kuwa ametengewa pauni  milioni £40 na Falcao karibu pauni £50.
Top targets: Liverpool's Suarez (above) and Atletico Madrid's Falcao (below)
Top targets: Walengwa wa Liverpool Luis Suarez (juu) na mshambuliaji wa Atletico Madrid Falcao (chini)
Top targets: Liverpool's Suarez (above) and Atletico Madrid's Falcao (below)

No comments:

Post a Comment