SIMBA YAKAMATWA NA FC LIBOLO YA ANGOLA UWANJA WA TAIFA.
|
Mlinzi wa Simba Shomari Kapombe akijaribu kuudhibiti mpira mbele ya kiungo Andres Madrid wa FC Libolo ya Angola katika mchezo wa michuano ya vilabu bingwa barani Afrika uliofanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambapo Simba ilipoteza mchezo huo kwa kufungwa bao 1-0. Bao la Libolo limefungwa na Joao Martins kwa kichwa kipindi cha pili cha mchezo huo. |
No comments:
Post a Comment