KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, March 30, 2013

Julio Diaz atamba kumtwanga AmirKhan kwa KO na kumaliza zama zake za ubingwa.

Bullish: Julio Diaz
Julio Diaz.
Julio Diaz amepanga kumuondoa Amir Khan katika ulimwengu wa masumbwi kwa kumchapa kwa KO katika pambano lao la mwezi ujao.
 
Diaz Raia wa Mexico amekuwa akitazamwa kuwa ndio bondia mkali baada ya Khan wakati ambapo amekuwa akiwachapa wakali mbalimbali wa masumbwi,
Diaz anajiamni kufanya vema watakapo kuwa ulingoni pambano ambalo litachezwa Sheffield Aprili 27.

Amenukuliwe Diaz mwenye umri wa miaka 33 akisema
 ‘Nadhani Amir Khan ni bondia hatari’
 ‘Hatabiriki , ni mwepesi , na ana uwezo lakini ana udhaifu wake na nitatumia madhaifu yake hayo kuutawala mchezo.

 Anatabia ya kuhamaki anapokuwa anashambuliwa na kupoteza mwelekeo
Khan alilazimisha Carlos Molina kustaafu mwishoni mwa raundi ya 10 mwezi Desemba katika pambano lake akiwa chini ya kocha mpya Virgil Hunter.
Favourite: Amir Khan is looking to get his career back on track
Veteran: Diaz hopes to use his experience to good effect in Sheffield

No comments:

Post a Comment