KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, March 20, 2013

UCHAGUZI WA CHANETA WASOGEZWA MBELE.

Katibu wa Chama cha Netboli (CHANETA) Rose Mkisi

Baraza la michezo Taifa BMT limetangaza kupiga kalenda uchaguzi wa CHANETA badala ya kufanyika machi 23 sasa utafanyika April 20 mwaka huu mkoani Dodoma kutoka na ukata wa fedha.

Taarifa ya katibu mkuu wa BMT HENRY RIHAYA imesema kutokana ukosefu huo wa fedha na BMT inajipanga hadi kuhakikisha ifikapo April 20 uchaguzi utafanyika na zoezi la usaili litafanyika April 18 ambapo mapingamizi April 19 mwaka huu mkoani DODOMA.

No comments:

Post a Comment