KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, June 29, 2013

DAVID MOYES NA ROONEY KUKUTANA JUMATATU KUAMUA MBIVU AMA MBICHI

Mind elsewhere: Wayne Rooney was at Glastonbury on Friday as he contemplates his future
Mind elsewhere: Wayne Rooney was at Glastonbury on Friday as he contemplates his future

Rooney ampa David Moyes maumivu ya kichwa kwa mara ya kwanza baada ya mshambuliaji huyo kung'ang'ania kutaka kuondoka United

David Moyes atakuwa anaingia moja kwa moja katika mtihano wake wa kwanza wa kuonyesha uimara wake katika uongozi wiki ijayo baada ya kutokea taarifa kuwa mshambuliaji nyota wa United Wayne Rooney kuendelea kuarifiwa kuwa anataka kuondoka Old Trafford.
Meneja huyo wa zamani wa Everton aatakuwa akikabiliwa na mtihani huyo kwa kujaribu kumshawishi Rooney kusahau tofati yake na meneja aliyetangulia Sir Alex Ferguson na kuwekeza nguvu zake kwa United kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa ligi ya England ambapo United wanakazi ya kutetea taji lake.

Mind elsewhere: Wayne Rooney was at Glastonbury on Friday as he contemplates his future
Mind elsewhere: Wayne Rooney was at Glastonbury on Friday as he contemplates his future

Inaaminika kuwa bado mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 27 amemuwashia taa ya kijani bosi wa Chelsea Jose Mourinho, na jumatatu anatarajiwa kukutana na Moyes na kumpasulia wazi juu ya hatma yake ya baadaye.
 Job on his hands: David Moyes looks set to miss out on working with Rooney for a second time
David Moyes inaonekana wazi huenda akamkosa Rooney.
Job on his hands: David Moyes looks set to miss out on working with Rooney for a second time

No comments:

Post a Comment