KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, June 29, 2013

USIKU HUU NANI KUIBUKA MSHINDI WA TATU KATIKA MICHUANO YA MABARA BAINA YA URUGUAY NA ITALIA


Kocha Uruguay Oscar Tabarez anatarajiwa kuwa na mlinzi wake m kongwe Andres Scotti kwa mara nyingine tena baada ya kusimama kwa mchezo mmoja.
Tabarez pia ameamua kuendelea kuwatumia Edinson Cavani, Luis Suarez na Diego Forlan katika safu yake ya ushambuliaji kwa mara nyingine.
Kocha mtaliano Cesare Prandelli huenda akawakosa  Alberto Gilardino ambaye anaonekana kupata maumivu katika mchezo dhidi ya Hispania.
Kukosekana kwa mshambuliaji hatari na mwenye maswahibu Mario Balotelli kutapelekea mtaliano huyo kulazimika kumtumia Stephan El Shaarawy katika kikosi cha kwanza na inaaminika kuwa Baloteli tayari amesha rejea nchini Italia.

MATCH FACTS
Head-to-head
  • Mataifa hayo mawili wamekutana mara nane katika maichuano inayoandaliwa na shirikisho la soka duniani Fifa katika kipindi cha miaka 85 iliyopita. Uruguay imeshinda mara tatu ambapo Italia imefanikiwa kuishinda Uruguay mara mbili na tatu wamekwenda sare.
  • Timu hizo mbili kwa mara ya mwisho kukutana ilikuwa katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki mwezi November 2011 mjini Rome ambapo La Celeste walishinda kwa bao  1-0 huku shukrani ikiwa ni kwa bao la Sebastian Fernandez.
  • Miongoni mwa wachezaji naen kati ya wale wale aliokuwepo katika mchezo huo wa wa ushindi walikuwepo katika mchezo waliofungwa na Brazil kwa bao 2-1 ambapo wao Italia jumla ya wachezaji sita walikuwepo katika kikosi chao kilicho fungwa na Hispania Alhamisi.

No comments:

Post a Comment