KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, June 28, 2013

STEVEN KESHI SASA KUSAIDIWA KUTEUA WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA

Rais wa Shirikisho la soka nchini Nigeria (NFF) Aminu Maigari amesema kuanzia sasa kocha wa timu ya taifa Stephen Keshi hatakuwa atiteu kikosi cha timu ya taifa peke yake.

Maigari ametoa maneno hayo akisema uchaguzi wa kikosi kilichoshiriki michuano ya kombe la mabara nchini Brazil, ambacho Nigeria ilitolewa hatua ya makundi hakikuridhisha.

Amenukuliwa akisema 
"Michuano ya kombe la mabara ni mashindano makubwa na ndio maana timu nyingine hupeleka vikosi bora " 

No comments:

Post a Comment