KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, June 28, 2013

Barcelona imefanikiwa kumbakisha Alcantara, lakini swali ni jee wataweza kuwalinda na wengine? Rafinha ameongeza kandarasi lakini swali ni kwa Thiago bado haijafahamika.

New deal: Rafinha Alcantara has signed a contract extension at Barcelona
New deal: Rafinha Alcantara has signed a contract extension at Barcelona

 Barcelona imekubaliana na mpango wa kumuongezea mkataba Rafael 'Rafinha' Alcantara kuenedelea kusalia hapo ndani ya klabu hiyo mpaka 2016.


Kinda huyo kiungo mwenye umri wa miaka 20 anaweza sasa kutumiwa na klabu hiyo kumshawishi Thiago anyewindwa na  Manchester United kusalia hapo.

Rafinha hapo kabla alikuwa akihusishwa na kutaka kuelekea Premier League .

Transfer blow: The news will come as a blow to Manchester United who were hoping a Rafinha move to England would increase their chances of landing older brother Thiago

Hata hivyo Barca italazimika kuingia katika vita kubwa ya kumbakisha Thiago ambaye kimsingi inaarifiwa ameshakubaliana na United juu ya maslahi binafsi ya pauni milioni £5.5 kwam mwaka baada ya kushindwa kupata nafasi katika kikosi cha kwanza msimu uliopita.

Mkataba wake na Barca ulikuwa unasema kuwa ataichezea klabu hiyo kwa asilimia 60 kama mchezaji wa kikosi cha kwanza jambo ambalo halikutekelezwa.

Barcelona ina nia ya kumabikisha kiungo Thiago mwenye umri wa miaka 22 na ime muhakikishia kuwa atakuwa ni mchezaji wa kikosi cha kwanza hapo baadaye kwani Xavi na  Iniesta umri wao unazidi kuwatupa mkono.
Switching allegiance: Rafinha switched from playing for Spain to play for Brazil

No comments:

Post a Comment