KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, August 7, 2013

Manchester United wampata wa kuziba pengo la Rooney ni mshambuliaji wa Udinese Luis Muriel.

United eye Muriel as Rooney replacement
Target: Manchester United are eyeing up Luis Muriel (Picture: Getty)
Manchester United imemuorodhesha mshambuliaji wa Udinese Luis Muriel kama chaguo sahihi la kuziba pengo la mshambuliaji wao anayetaka kuondoka Wayne Rooney.

Meneja wa United David Moyes kwa kipindi kirefu amekuwa akivutiwa na Muriel, na yuko tayari kuanzisha mpango wa kumnasa mshambuliaji huyo kuziba pengo la mshambuliaji wa kimataifa wa England Rooney.

Moyes ameshapiga chini ofa mbili kutoka Chelsea zikimtaka Rooney, lakini mchezaji huyo ameweka wazi kuwa hana muda mrefu wa kuendelea kusalia Old Trafford.

Ni hali ambayo inaonyesha kama ni jaribio la uwezo wa Moyes katika nafasi yake ya umeneja lakini lakini inatazamwa kama hata kama Rooney ataondoka haita mpa hasara.

Mshambuliaji wa kimataifa wa Colombian Muriel anaongoza katika orodha ya wachezaji wanaotakiwa na mashetani wekundu huku kiongozi wa timu ya watafuta wachezaji wa United Robbie Cooke akihaha kuhakikisha Moyes anafanikiwa katika zoezi la uhamisho.
FBL-ASIA-ENG-PR-MANUTD-HKG
On the move: David Moyes is coming around to the idea that Wayne Rooney will be leaving (Picture: Getty)
Muriel ana umri wa miaka 22, ni mchezaji mwenye kasi , mbunifu ambaye anaweza kucheza kucheza sehemu mbalimbali za ushambuliaji na anauzwa kwa pauni milioni £18.
 
He scored 11 goals last season for Udinese and was watched by United, Liverpool and Barcelona scouts during the Europa League qualifying match against Siroki Brijeg last week, in which he bagged two goals.
Muriel would fit in nicely with the likes of Robin van Persie, Javier Hernandez and Danny Welbeck, making him an ideal option.
Rooney is not likely to be the only striker that departs Old Trafford this month though, with Angelo Henriquez, Kiki Macheda and Bebe also expected to leave in the coming days.

No comments:

Post a Comment