Bosi mpya wa Sunderland Gus Poyet amesema kuwa asilinganishwe na mtanglizi wake Paolo Di Canio.
Di Canio aliye iongoza Sunderland kwa michezo 13 aliaanza kwa makeke pamoja na kukabiliwa na kelele za maoni yale ya kisiasa amemaliza kwa kichapo cha mabao 3-0 kutoka kwa West Brom
Amenukuliwa akisema
"Muda wa Paolo umemalizika. Tuko tofauti. Huwezi kunilinganisha mimi na mtu mwingine yoyote.
Rekodi ya Gus Poyet alipokuwa na Brighton.
Played | Won | Drawn | Lost | Win ratio |
---|---|---|---|---|
194 |
86 |
59 |
49 |
44.3% |
No comments:
Post a Comment