Mropokaji:Jack Wilshere.
Januzaj akifunga goli la dhidi ya Sunderland Jumamosi
Mwingereza Kevin Pietersen ameshukia kwa maneno makali kiungo wa Arsenal Jack Wilshere juu yan maoni yake kuwa mzaliwa wa Uingereza pekee ndiye anayepaswa kuichezea nchi hiyo.
John Fashanu mapema alitoa maneno makali juu ya kauli hiyo ya Jack Wilshere, na kumuita kiungo huyo wa Arsenal mpumbavu pale alipoandika katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter.
Pieterson ambaye ni mzaliwa wa Afrika kusini huko nyuma aliwahi kupata haki ya kuichezea nchi hiyo kutokana na sheria ya ukaazi alitolea mfano wa mchezaji wa Cricket na Golf Justin Rose,na mshindi wa michezo ya Tour de France Chris
Froome, na mshindi mara mbili wa Olympic Mo Farah, ambao wote hawakuzaliwa ndani ya nchi hiyo.
Pietersen kupitia Twitter ameandika: 'Jack
Wilshere - interested to know how you define foreigner...? Would that
include me, Strauss, Trott, Prior, Justin Rose, Froome, Mo Farah?'
Wilshere baadaye kidogo akajibu:
'With all due
respect Mr Pietersen the question was about football! Cricket, cycling,
athletics is not my field!'
But Pietersen was not satisfied, saying: 'Same difference.. It's about representing your country! IN ANY SPORT!'
Wilshere amenukiliwa akiongea hayo baada ya meneja wa England Roy Hodgson kuelekezea kuwa FA inamtaka nyota kinda wa Manchester United Adnan Januzaj, ambaye ni mzaliwa wa Belgium lakini anasifa ya kuchezea nchi kadhaa apewe nafasi katika kikosi cha nyota watatu (Three Lions).
Mwa mujibu wa sheria za FIFA zinasema Januzaj, 18, anapaswa kuishi England kwa angalau miaka mitano ili aweze kufuzu kuichezea nchi hiyo.
Shujaa: Kevin Pietersen akibusu tuzo ya baada y kushinda mchezo wa Cricket msimu wa kiangazi nchini Australia
Pietersen
Majibishano kupitia twitter baina ya wawili hao.
Pietersen v Wilshere
Wilshere: 'kuweka sawa juu ya jambo hili ... sikuwa namaanisha Janujaz.
'Swali lilikuwa ni kama wageni wataruhusiwa kuichezea England, na kwa maoni yangu ni kwamba sioni hivyo!
'Ni mchezaji mkubwa ningependa kama angekuwa Mwingereza!'
Mjivuno ya utaifa : Wilshere akiwa mazoezini St George's park pamoja na wachezaji wengine wa England wiki hii.
Majibu ya Wilshere: 'No, for me if
you are English you are English and you play for England. The only
people who should play for England are English people. If you live in
England for five years it doesn’t make you English. You shouldn’t
play... it doesn’t mean you can play for a country. If I went to Spain
and lived there for five years I am not going to play for Spain.'
Mshambuliaji wa zamani wa Wimbledon na England Fashanu alitoa maneno makali kuelekea kwa Wilshere hii leo akisema kupitia
'You're right. You wouldn't get near the
squad.'
John Fashanu enzi zake akiwa na Wimbledon na England (pichani chini kulia)
No comments:
Post a Comment