Fabio Capello anajipanga kuongeza kandarasi yake na Urusi mpaka mwaka2018, hii ikiwa ni kwa mujibu wa waziri wa michezo wa nchi hiyo Vitaly Mutko.
Itakumbukwa Capello, mwenye umri wa miaka 67, alichukua kazi hiyo kutoka kwa mtangulizi wake Dick Advocaat mwezi Julai mwaka uliopita na huenda sasa akasalia katika timu ya taifa ya nchi hiyo mpaka mwenye fainali ya kombe la dunia mwaka 2018 ambayo Urusi watakuwa wenyeji wa fainali zake.
Waziri wa michezo wa Urusi Mutko amedai kuwa mchakato wa kukamilisha mpango huo wa kumsainisha Capello mwenye umri wa miaka 67 mtoto wa Pier Filippo Capello unatarajiwa kufikiwa mjini Moscow wiki ijayo na kumalizia makubaliano.
Akiongea kwa waandishi wa habari amesema

"Naweza kusema makubaliano kimsingi baina ya kocha na chama cha soka cha Urusi RFU (Russian Football Union) yamefikiwa”.
"Kumekuwepo na chaguzi za tarehe ya kusaini mkataba mpya lakini inawezekana kila kitu baada ya Droo ya kombe la dunia.”
Capello raia wa Italia ameisadia Urusi kuongoza kundi la michezo ya kufuzu kombe la dunia mbele ya Ureno.
“We cannot lose the momentum and continuity now."
Urusi mpaka sasa inasalia kuwa isiyofungika (unbeaten) katika michezo mitano na inatarajia kucheza dhidi ya Korea ya kusini mchezo wa kimataifa wa kirafiki Jumanne ijayo.

No comments:
Post a Comment