- Venue: Etihad Stadium
- Date: Monday, 3 February
TEAM NEWS
Mshambuliaji wa Manchester City
Sergio Aguero atakuwa nje ya uwanja kutokana na kuendelea kuuguza jeraha lake la msuli maumivu aliyoyapata katika mchezo wa katikati ya wiki dhidi ya Tottenham Hotspur.
Chelsea itakuwa ikiangalia ubora wa winga wake Mohamed Salah aliyejiunga akitokea Basel ya Uswiz.
Salah hakuwepo katika mchezo wa Jumatano wa dhidi ya West Ham kama ilivyokuwa Fernando Torres, ambaye naye anasumbuliwa na mguu.
MATCH FACTS
Head-to-head- Manchester City imwshinda michezo minne waliyokutana kwa mara ya mwisho dhidi ya Chelsea iliyopigwa katika dimba la Etihad, kuanzia msimu wa 2008-09, huku Carlos Tevez na Yaya Toure wakifunga magoli katika mchezo wa mwisho wa ushindi mfululizo wa mabao 2-0 waliokutana.
- Chelsea ilishinda mchezo mmoja kati ya minne ugenini mapema msimu huu kwa ushindi wa mabao 2-1 mwezi Oktoba October huku mabao hayo yakifungwa na Andre Schurrle na Fernando Torres na City bao lao likifungwa na Sergio Aguero.
No comments:
Post a Comment