KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, February 17, 2014

Ricaldo Kaka anasema ni kweli Zidane na Messi ni wachezaji bora lakini Ronaldo ndiye mchezaji mkubwa zaidi duniani

 Kiungo wa AC Milan Rocaldo Kaka ametanabaisha kuwa Lionel Messi na Zinedine Zidane ndio wachezaji bora aliowahi kukutana nao na kudai kuwa Cristiano Ronaldo ndiye bora zaidi mwenyewe akimwita 'greatest player he has ever played alongside'.

Kiungo huyo wa kimataifa wa Brazil amekutana na Messi mara nyingi wakati wakicheza pamoja katika klabu ya Real Madrid, ambako alicheza pamoja na mshindi huyo wa tunzo ya Ballon d'Or.

"The best ones I played against were Zidane and Messi," Kaka wrote in a Q&A via Milan's official Twitter page. "The best one I've played with was Cristiano Ronaldo.

"The strongest defender I've played with or against is Paolo Maldini [Kaka's former team-mate at Milan]."

Kaka ameonyesha kufurahia kucheza chini ya Clarence Seedorf, ambaye amechukua mikoba ya kuinoa Milan kutoka kwa mtangulizi wake Massimiliano Allegri mwezi Januari, lakini amekanusha kufuata nyayo za mduchi huyo wakati atakapo tundika daruga.

No comments:

Post a Comment