KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, March 1, 2014

KLBU BINGWA BARANI AFRIKA: Yanga yapata ushindi kiduchu uwanja wa nyumbani dhidi ya Al Ahly.

Kikosi cha Yanga
Kikosi cha Al Ahly kilichocheza na Yanga
Mrisho Ngasa akijaribu kumtoka mlinzi wa Al Ahly katika mchezo uliofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambapo Yanga iliibuka na ushindi wa bao 1-0 huku bao hilo likifungwa na Nadir Haroub Kanavaro dakika ya 87 kufuatia mpira wa kona iliyopigwa na Simon Msuva.
Kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima akiwajabu kuwahadaa wachezaji wa Al Ahly katika mchezo uliopigwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mlinda mlango wa Al Ahly Sherif Ekramy Ahmed akidaka mpira katika moja ya shambulizi lilifanywa na mshambuliaji wa Yanga Hamisi Kiiza.

No comments:

Post a Comment