Radamal Falcao amekamilisha usajili wa kusisimua wa mkopo kuelekea Manchester
United akitokea Monaco ya Ufaransa. Mshambuliaji huyo atakuwa anakamilisha uhamisho wa mkopo wa muda mrefu kwa ada ya pauni milioni £12.
Mkolombia huyo aliwasili katika uwanja wa mazoezi wa United wa Carrington kukamilisha zoezi la vipimo vya afya baada ya kukubali maslahi binafsi ambayo ni malipo ya wiki ya pauni £290,000.
No comments:
Post a Comment