KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Tuesday, October 28, 2014

Diego Maradona tena ampiga msichana



Video ya kushitusha imeonekana mtandaoni ikimuonyesha mkongwe wa Argentina Diego Maradona akimvamia msichana Rocio Oliva kabla ya kumpiga.
Maradona mwenye umri wa miaka 53, ameonekana akianza kwa kumfokea Oliva kabla ya mstaafu huyo wa soka aliyekuwa amelewa kuonekana kumpiga.
Video hiyo iliyotolewa na gazeti la nchini Hispania la El Mundo, ambapo katika tafsiri ya New York Daily News, msichana huyo alisikika akilia kwa kumuomba Maradona aache kumpiga(‘stop, stop, stop hitting me.’)
Taarifa kutoka Amerika ya kusini zinasema Maradona amekuwa akitafadhalisha kuenea kwa kipande hicho cha video lakini amethibtisha kuwa ni yeye aliyefanya kitendo hicho

No comments:

Post a Comment