Bosi wa Manchester City Manuel Pellegrini ameripotiwa kutaka kumsajili nyota wa Arsenal Mesut Ozil mwezi Januari wakati huu ambapo klabu hiyo inajipanga kuwa na maisha mengine bila ya Yaya Toure.
City imekuwa ikitajwa kutenga kiasi cha pauni milioni 32 kwa ajili Ozil katika za hivi karibuni huku washika mitutu wakiwa tayari kuchukua mkwanja wa Mjeumani huyo.
Taarifa za hivi punde zinasema kuwa bosi wa City Pellegrini tayari ameshatoa pendekezo la kumsajili Ozil mwaka mpya, wakati ambapo nyota wa Ivory Coast Toure akiwa njia moja kuondoka.
Manuel Pellegrini anajipanga kumkosa Yaya Toure (Picture: Getty) |
PSG na Monaco wamehusishwa na uhamisho huo mkubwa wa Yaja Toure na City wakimtaka Ozil kuchukua nafasi yake.
No comments:
Post a Comment