Steven Gerrard amesema anaweza kugomea fursa ya kujiunga na Real Madrid huku kiungo huyo mzoefu akitanabaisha kuwa alikuwa akiwindwa na na mabingwa watetezi wa taji huko nyuma.
Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 32 alikuwa akikaribia kujiunga na Chelsea 2005, huku Jose Mourinho
akiweka pembeni kiasi cha pauni milioni £30 kabla ya wekundu hao kupata nafasi ya kucheza Ulaya na kumfanya kusalia.
Gerrard
ametanabaisha kuwa miaka miwili Mourinho alimfuata alipokuwa meneja Santiago Bernabeu, lakini akasema kuwa alikataa kuondoka Anfield.
"I've had a couple of
offers to go to Real Madrid during my career... it may be something I
regret," he told reporters ahead of the Reds' clash with Los Blancos at Anfield on Wednesday night.
"However, it would have been a bigger regret if I had left the club I love: Liverpool."
No comments:
Post a Comment