Monday, August 30, 2010
Nizar Khalfani akikutana na kocha wake mpya Jan Paulsen kwa mara ya kwanza na kupiga naye picha ya ukumbusho.Timu ya taifa iko katika maandalizi ya kuelekea Algeria kwa ajili ya mchezo wa kwanza dhidi ya timu ya taifa ya Algeria Desert Fox mchezo ambao umepangwa kufanyika september 3 katika jiji la Algers
Azam FC imeongoza kutoa wachezaji wengi timu ya taifa Taifa Stars inayosafiri kwenda Algeria, Azam imetoa wachezaji 7, Yanga 5, Simba 3, Mtibwa 2 na wanne wa nacheza soka nje ya nchi, wachezaji wa Azam FC ni Chove, Aggery, Nyoni, Jabir, Selembe, Bocco na Ngasa
PICHANI JUU NI MRISHO KHALFAN NGASA AKIWA NA KIKOSI CHA AZAM FC
Kufuatia kufungwa kwa uwanja wa Uhuru kutokana na kufanyiwa matengenezo, Azam FC itatumia uwanja wa Mkwakwani Mjini Tanga kama uwanja wake wa Nyumbani. Wameomba kwa shirikisho la mpira wa miguu kuutumia uwanja wa mkuu wa Taifa kwa ajili ya mechi kati yetu na Simba na Yanga. na mzunguko wa pili utakapoanza watakuwa wakitumia uwanja wao unaoendelea na ujenzi huko Chamazi - Mbagala
Jermain Defoe amejumuishwa katika kikosi cha kocha Fabio Capello cha uingereza baada ya mshambuliaji huyo wa Tottenham kuharisha operation yake ya groin ambayo ingemuweka nje katika michezo ya kuwania kufuzu fainali za mataifa ya ulaya dhidi ya Bulgaria na Switzerland.Defoe alikuwa amepangiwa kufanyiwa upasuaji jumanne na majaliwa ya kupona kwake kuchukua majuma manne lakini hata hivyo meneja wake wa Spurs Harry Redknapp anasema maumivu yake yameanza kurejea katika hali nzuri na hivyo kujumuishwa katika kikosi kwa ajili ya michezo hiyo miwili muhimu
Wawili hao yeye na mwenzi Peter Croach toka Tottenham sasa wamerejeshwa kikosini baada ya kupumzishwa katika michezo ya hivi karibuni ya kirafiki dhidi ya Hungary katika dimba la Wembley kufuatia majukumu na vilabu vyao katika michuano ya mabingwa.Kikosi kamili
Goalkeepers: Scott Carson, Ben Foster, Joe Hart
Defenders: Gary Cahill, Ashley Cole, Michael Dawson, Kieran Gibbs, Phil Jagielka, Glen Johnson, Joleon Lescott, Matthew Upson
Midfielders: Gareth Barry, Michael Carrick, Steven Gerrard, Adam Johnson, James Milner, Theo Walcott, Shaun Wright-Phillips, Ashley Young
Strikers: Darren Bent, Carlton Cole, Peter Crouch, Jermain Defoe, Wayne Rooney
PREMIER LEAGUE ROUND-UPCity yakamatwa , Liverpool yaichapa West Brom
Manchester City imepoteza mchezo wake kwa kuchapwa na Sunderland kwa bao 1-0 katika mchezo ulipigwa katika dimba la Stadium of Light ahasante kwa bao la dakika ya 90 kwa mkwaju wa penati iliyopigwa na Darren Bent.
Bent kwake hilo limekuwa ni bao lake la nne ndani ya msimu akilipata baada ya kuangushwa kwa Micah Richards.
Sunday, August 29, 2010

Less than a week before the start of his Home and Home tour series with Jay-Z, Eminem is staying tight-lipped about his plans for the stadium shows, which commence Sept. 2-3 at Detroit's Comerica Park before switching to New York's Yankee Stadium on Sept. 13-14.I don't want to get into it too much," Eminem tells Billboard.com. "I don't want to give anything away. But...I think it'll be good. He does, however, allow that his song selection "will probably be all over the place" rather than concentrating on "Recovery," his double-platinum latest album that's still sitting atop the Billboard 200. "Hopefully it'll be songs that everyone is familiar with."
The hip-hop mogul is teaming up with his favorite baseball squad on co-branded clothes that will be sold exclusively at Yankee Stadium beginning next week. All the items, from baseball caps to T-shirts and hooded sweat shirts, will feature Yankees and Jay-Z logos.The Yankees said the attire was created to commemorate the first official concerts at the new Yankee Stadium on Sept. 13 and 14, when Jay-Z and Eminem will co-headline.
The shows mark the second half of their "Home and Home" tour, following joint performances at Detroit's Comerica Park on Sept. 3 and Sept. 4.
The new merchandise will be available at Yankee Stadium from Aug. 30 to Sept. 14.
Spanish singer Julio Iglesias has married Dutch model Miranda Rijnsburger, his partner for the past 20 years.The 66-year-old singer announced the marriage in a statement to Spanish newspapers.
The wedding took place at the Virgen del Carmen church in the southern jet-set resort of Marbella. Rev. Roberto Rojo Aguado, one of three priests who celebrated the ceremony, told The Associated Press on Friday that the couple were married Tuesday (Aug. 24).
He said the ceremony was attended by two witnesses and the couple's five children. Rijnsburger is 45.
Iglesias was previously married to Isabel Preysler, with whom he had three children.
The judge overseeing Chris Brown's probation for beating ex-girlfriend Rihanna sang the praises of the R&B artist and urged him to keep chipping away at his community service requirement.Superior Court Judge Patricia Schnegg did not raise any issues about Brown's progress during the brief hearing on Aug. 26.
"You're doing very well on probation," Schnegg told Brown. "You're doing a great job."
Brown, 21, did not speak during the hearing.
The judge said Brown had consistently worked to satisfy his six-month community labor sentence, but she did not say how many hours he had completed.
Schnegg also noted she had read positive reports from a domestic violence counseling program attended by Brown.
His attorney Mark Geragos said at a hearing in May that Brown had logged nearly 300 hours of community work.
The singer was sentenced last year to five years probation and six months of community labor for assaulting Rihanna in February 2009 after a pre-Grammy Awards party.
Once known for his squeaky-clean image and dancing ability, Brown has also been working to repair his public image since the beating.

Wesley Sneijder anaamini ya kuwa kocha Jose Mourinho atakuwa ndiye mrithi wa Sir Alex Ferguson katika klabu ya mashetani wekundu Manchester United kama Mscot huyo ataachia ngazi.
Ferguson amekuwa akiifundisha klabu hiyo kwa kipindi cha miaka 24 na kuwa kocha mwenye mafanikio makubwa katika historia ya klabu hiyo.
Bado kumekuwa na tetesi juu ya nani atakuwa mrithi wa Furguson.
Kwa upande wake Sneijder ambaye katika michuano ya ligi ya mabingwa ulaya msimu uliopita alikuwa katika kikosi cha kocha Mourinho wakati huo akiwa Inter Milan anasema self-styled 'Special One' kwasasa anataka kazi Old Trafford.
Mdutch huyo ambaye alingara katika fainali za kombe la dunia akizungumza na Daily Star hii leo amesema
''nimekuwa n a mazungumzo ya kina na Jose na niko tayari kuweka pesa mezani juu ya Mourinho kuchukua nafasi ya Ferguson(kamari). Najua nafasi anayoitaka kwasasa ni kuwa meneja wa Manchester United.
"To be honest, he is probably the only coach in the world who is capable of taking over from Alex Ferguson.
''kama Ferguson anastaafu kilichopo akilini mwangu ni kwamba ,mpango mzima umekwisha kamilika na iko hivyo . One world-class manager leaves and another one takes over.
''najua Alex Ferguson atakuwa na mengi ya kuzungumza juu ya nani wa kuchukua nafasi yake hata kama wanatofautiana lakini bado kuna heshima kubwa kati yao.''
Mourinho akiwa sasa ni charge wa Real Madrid aeshakuwa na matamanio ya kurejea Premier League kufuatia kumbukumbu ya mafanikio akiwa na Chelsea.
Saturday, August 28, 2010
Atletico Madrid imefanikiwa kutwaa taji la European Super Cup baada ya ushindi maridhawa wa mabao 2-0 dhidi ya mabingwa wa vilabu ulaya Inter Milan.Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal Jose Antonio Reyes ndiye aliyekuwa wakwanza kuipa bao la kuongoza Atletico huko katika jiji la Monaco kwa shuti hafifu ambalo lilimpita mlinda mlango wa Inter Julio Cesar karibu na upande wake wa goli alikokuwa hiyo ikiwa ni dakika ya 62 ya mchezo
Karibu na kuelekea kukamilika kwa mchezo Simao Sabrosa alifanya kazi nzuri ya kutengeneza pande kwa Sergio Aguero na kuandika bao la pili.Inter walifanikiwa penati katika dakika ya mwisho ya mchezo baada ya Raul Garcia kumfanyia madhambi Goran Pandev lakini hata hivyo mlinda mlango wa Atletico David de Gea alifanikiwa kuokoa penati dhaifu ya Diego Milito.
Mabingwa hao wa Europa League Atletico walikuwa katika hali nzuri kimchezo dhidi ya kikosi cha kocha wa zamani wa Liverpool Rafael Benitez katika mchezo huo.Inter chini ya Bernitez walikuwa wakiwania taji la pili katika mchezo huo baada ya kufanikiwa kupata taji la Italian Super Cup juma lililopita kwa ushindi wa mabao 3-1dhidi ya Roma.
Katika msimu uliopita Inter Milan chini ya Jose Mourinho walifanikiwa walifanikiwa kutwaa mataji matatu ya Champions League, Serie A na Italian Cup Treble.
Baada ya kutamigwa kwa muda sasa,mlinzi wa kutumainiwa wa mashetani wekundu Rio Ferdinand anatarajiwa kurejea dimbani baada ya kuarifiwa kuwa hali yake inaendelea vizuri baada ya maumivu ya mguu.Mlinzi huyo mwenye umri wa miaka 31alipatwa na maswahibu ya maumivu akiwa mazoezini akiwa na timu yake ya taifa ya Uingereza June 4 maarufu kama “simba watatu” wakati wa maandilizi ya michezo ya kombe la dunia na kupelekea kuikosa michezo ya kombe hilo.
Hata hivyo kocha wa mashetani wekundu Sir Alex Ferguson anasema hakutegemea kumpata mlinzi wake huyo mpaka September.Akikaririwa anasema "hatoweza kucheza katika mchezo wa jumamosi dhidi ya West Ham lakini tunatazamia kua naye katika kipindi cha kuanzia wiki mbili zijazo
Ferdinand aliumia baada ya kugongana na mchezaji mwenzake katika timu ya taifa Emile Heskey wakati wa mazoezi ya timu ya taifa kuelekea kwenye fainali za kombe la dunia kule Rustenburg.
Rais wa shirikisho la kandanda duniani Fifa Sepp Blatteranaelekea kabisa muda wake wa kuliongoza shirikisho la kandanda duniani na sasa akijipanga kuchukua kipindi kingine cha kuliongoza shirikisho hilo kwa kipindi kingine cha miaka minne huku akikabiliwa na ushindani mkubwa kutoka kwa mkuu wa shirikisho la kandanda katika bara la Asia.Mohamed Bin Hammam mwenye umri wa miaka 61anaonekana kama ndiye mpindani mkubwa kwa mkongwe huyo toka Uswize licha ya taarifa za hivi karibuni kuarifu kuwa Bin Hammam hana mpango na kiti hicho.
Blatter ambaye sasa ana umri wa miaka 74 huku naye akisema hana mpango wa kuendelea kuwania nafasi hiyo katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwezi June mwakani hata hivyo anaonekana mguu ndani mguu nje.Akikaririwa Bin Hammam anasema "I will not run for the next Fifa election. I will back Sepp Blatter to remain in office".
Lakini kama Bin Hammam atawania nafasi hiyo basi anatarajia kupata ushindani mkubwa kutoka kwa Rais wa sasa wa shirikisho la kandanda barani ulaya Uefa Michel Platini.
Mfaransa Platin anaonekana kama ndiye mtu mwenye nafasi kubwa kwa sasa kuchukua nafasi hiyo lakini pia akionekana kuwa katika kinyanganyiro kingine cha kuwania nafasi ya Urais katika bodi ya utawala ya soka la ulaya.Bin Hammam ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya utendaji ya Fifa anasema pia na yeye anatarajia kuingia katika kinyanganyiro kingine cha kuwania Urais wa shirikisho la kandanda barani Asia (AFC) mwakani.
Baada ya miaka 12 kukalia ofisi ya FIFA Kama Rais , Blatter ameweka wazi kuwa hana mpango wa kuondoka hiyo June 11 2011,huku akisema bado hajamaliza baadhi ya mipango yake.
Kwa mara ya kwanza kuchaguliwa katika shirikisho hilo ilikuwa ilikuwa ni mwaka 1998 na baadaye kushinda tena kiti hicho mwaka 2002 before kisha kufanya hivyo tena katika uchaguzi wa mwaka 2007.
Bin Hammam huko nyuma aliwahi kupinga Rais wa Fifa kukalia kiti hicho kwa zaidi ya vipindi viwili ili kutoa nafasi kwa Asian kuliongoza shirikisho hilo.Swali lililopo ni nani atachukua kipindi hicho kingine cha uongozi ndani ya Fifa?
Friday, August 27, 2010
Juu katika picha kutoka kushoto katibu wa TASWA Amir Mhando,mwenyekiti wa TASWA Juma Pinto na makamu mwenyeti wake Maulid Kitenge wakiongea na waandishi wa habari
Chama cha waandishi wa habari za michezo nchini TASWA kimeandaa tuzo maalum kwa ajili ya kumtunuku Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete kufuatia mchango wake katika kuendeleza sekta ya michezo nchini.
Hatua imekuja kufuatia Rais Kikwete kufanya jitihata za makusudi kuendeleza michezo na burudania hapa nchini .tayari Rais kikwete amefanikisha ujio wa makocha wa kigeni wa michezo kadhaa ikiwa ni pamoja na soka, ngumi na judo huku pia akiwa na dhamira ya kuhakikisha kuwa mchezo wa riadha na mpira wa pete nayo inapata waalimu wakigeni wenye uwezo wa kukuza viwango vya michezo hiyo hapa nchini.
Katika hatua nyingine TASWA imejipanga kuweza kutoa semina za mara kwa mara kwa waandishi wa habari za michezo hapa nchini ili kuwapa uwezo wa kuandika habari za michezo kwa usahihi.
Mason Durell Betha (born August 27, 1975),[1] better known by stage name Mase (often typeset as Ma$e), previously known as Murda Ma$e, is an American rapper, songwriter, television personality and
Mwanamziki wa miondoko ya Pop wa Ujerumani anayeishi na virusi vya Ukimwi anayetuhumiwa kumwambukiza mpenzi wake virusi vya ugonjwa huo amepewa kifungo cha nje cha miaka miwili.Nadja Benaissa, mwenye umri wa miaka 28, alikiri kufanya mapenzi bila kujikinga na kuficha hali yake ya kiafya, lakini amekana kumwambukiza mwenzake kwa makusudi.
Mwimbaji huyo wa kundi la No Angels alikutwa na kosa la kusababisha madhara kwa mtu mmoja, na makosa mawili ya kujaribu kumdhuru mtu.
Katika kesi hiyo alisema, " anaomba radhi kwa moyo wake wote."
Bi Benaissa alifanya mapenzi na watu watatu bila ya kuwaambia kuwa ameathirika. Mmoja wao alithibitishwa kuambukizwa virusi hivyo.
Bi Benaissa aliiambia mahakama kwamba hakumwambia mtu yeyote kuhusu maradhi yake kwasababu alikuwa na wasiwasi wa matokeo hasa ya kazi yake, ambapo alisema lilikuwa ni "suala la uwoga."
Alidai aliambiwa na madaktari kuwa hatari ya kumwambukiza mtu virusi ni "sawa na kuwa haiwezekani."
Bi Benaissa alikamatwa mjini Frankfurt mwaka jana, muda mfupi kabla ya kushiriki kwenye tamasha, na kuwekwa kizuizini kwa siku 10.
Kundi la No Angels liliundwa mwaka 2000 katika kipindi cha kimataifa cha televisheni cha Popstars, kabla ya kurekodi mfululizo wa nyimbo maarufu na kuibuka kundi lenye mafanikio makubwa Ujerumani.
Mwaka 2007 waliibuka upya na kushindana katika mashindano ya Eurovision mwaka 2008, na kuchukua nafasi ya 23.
Thursday, August 26, 2010
Tottenham Hotspur cruised into the group stages of the Champions League as a Peter Crouch hat-trick inspired them to a 4-0 win over Young Boys, and a 6-3 victory on aggregate. Meanwhile, Auxerre overcame Zenit St Petersburg and Ajax defeated Dynamo Kiev.Tottenham were 3-0 down inside 30 minutes in Switzerland before mounting a partial comeback, but they were never in any danger in the return leg at White Hart Lane.
Crouch opened the scoring when heading home from a Gareth Bale cross before Jermain Defoe scored a controversial second, as he appeared to handle a pass from the Welshman before finishing. The influential Bale set up Crouch for a second header before winning a penalty, allowing the striker to claim a hat-trick.
Zenit St Petersburg approached their second leg in France with a 1-0 advantage but succumbed to a hugely disappointing 2-0 defeat at the hands of Auxerre. Cedric Hengbart (9) and Ireneusz Jelen (52) scored for the home side and Zenit were reduced to nine men following the dismissals of Viacheslav Malafeev and Tomas Hubocan.In Amsterdam, Ajax secured their place in the group stages courtesy of a 3-2 aggregate victory over Dynamo Kiev. After a 1-1 draw in the first leg, goals from Luis Suarez and Mounir El Hamdaoui sealed victory for the four-time European champions, despite a late penalty from Dynamo's veteran striker Andriy Shevchenko.
Slovakian champions MSK Zilina will compete in the group stages for the first time in their history after beating Sparta Prague 3-0 on aggregate. Leading 2-0 after the first leg, Momodou Ceesay scored after 18 minutes to cement their victory. To add insult to injury for Sparta, Jiri Kladrubsky missed a second-half penalty.A Solvi Ottesen goal after 33 minutes was enough for FC Copenhagen to advance on away goals after a 2-2 aggregate draw with Rosenborg.
After nine months, Elin Nordegren has broken her silence on the infidelity scandal that rocked her family and led to the dissolution of her marriage to golf star Tiger Woods.In what she says will be a one-time-only discussion of her side of the story, Nordegren spoke with People magazine for 19 hours over four days. The revelations were sobering, and in some cases surprising.
The three key takeaways from Nordegren's story are:
• She says she is in no way a violent person, calling any speculation that she swung a golf club at Woods on Thanksgiving night "ridiculous."
• She was completely broadsided by the news of Woods' extramarital affairs, believing that she was the only woman in his life. In short, she was as surprised as most of the rest of the world that the persona Woods put forth – dedicated competitor, family man – was a carefully constructed sham. "I'm so embarassed that I never suspected [his affairs] – not a one," she said.• In line with that, she said she believed fully that her relationship with Woods was a real marriage, not an act orchestrated for cameras and sponsors. "The word betrayal is just not strong enough," she told People. "I have been through the stages of disbelief and shock to anger and ultimately grief over the loss of the family I so badly wanted for my children."
Woods, who will be playing in this weekend's Barclays Championship in New Jersey, has not yet commented on Nordegren's interview. Clearly, however, she plans on him being in the picture as the father of her children – daughter Sam, 3, and son Charlie, 19 months – as she didn't scorch the earth with her comments. She declined to go into more detail about the events of Thanksgiving, and she would not comment on the size of her divorce settlement – rumored to be in excess of $100 million – except to indicate that it is substantial enough that she won't have to work initially and will be able to focus on raising her children.The People magazine article gives the impression that Nordegren is both very aware of her celebrity – perhaps infamy – as the aggrieved wife, and also very understanding of the fact that she is something of a punch line for gaining so much money in the divorce settlement. As such, she intends to remain a private person and has no intention of being a celebrity – refreshing in an age where everyone who nabs a single headline is rushing to sign a reality-TV or talk show deal.
Most surprisingly, throughout all the drama of the Woods scandal, Nordegren quietly spent time as a humble college student, taking night classes in pursuit of a psychology degree. According to her, she's 40 credits short of a bachelor's degree in psychology, and hopes to follow that with a master's and, at some point in the future, work as a therapist herself. Perhaps fittingly, she took a clinical approach to her own healing, facing it directly and without shame in regular, intensive therapy sessions.
"My immediate plan is for the kids and me to continue to adjust to ournew situation," she said. "I am going to keep taking classes, but my main focus isto try to give myself time to heal."
As for the future, she plans to raise the children in South Florida, near a home she and Woods have been building in Jupiter. So it seems she intends for him to remain a part of her life in some capacity; indeed, the article begins with Woods arriving home with the children during the interview and surprising Elin, who reacts with kindness and respect.
For now, this will close Elin Nordegren's side of the story. Clearly, though, this will follow her and her family for decades to come.The issue of People featuring Elin Nordegren on the cover will be inescapable starting Friday. Below, some video from Wednesday morning's Today Show covering the story:
Wednesday, August 25, 2010
CHAMPIONS LEAGUE GROUP STAGE TO QUALIFYBraga aishtusha Sevilla, Bremen yakamua
Braga imefanikiwa katika hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa baada ya kuichapa Sevilla usiku wa kuamkia jumatano wakati ambapo Werder Bremen wakipata bao la dakika za majeruhi katika muda wa nyongeza na kuiondosha Sampdoria.
mchezo kati ya Sevilla dhidi ya Braga nyota wa mchezo huo Lima wa Braga amefanikiwa kufunga jumla ya mabao matatu pekee yake yaani “hat-trick” katika mchezo ambao Braga wamepata ushindi wa mabao 4-3 na hivyo kufanikiwa kupenya kwa ushindi wa jumla wa mabao 5-3. Braga ya Ureno ilikuwa tayari na ushindi wa bao 1-0 walioupata katika mchezo wa kwanza na hivyo mabao ya Matheus dakika ya 31 na mabao mengine matatu ya Lima yamewapa ushindi wa jumla wa mabao 5-3 ukiwa ni ushindi wa jumla.
Katika mchezo Sevilla dhidi ya Braga Luis Fabiano alifanikiwa kuandika bao la kwanza huku wakiwa nyuma kwa mabao mawili kunako dakika ya 60 na Jesus Navas kuandika bao la pili na la kusawazisha katika dakika ya 84. baada ya dakika moja Lima akaandika bao lake la pili kabla ya kuandika bao lake lingine la tatu na Frederic Kanoute wa Sevilla katika dakika ya mwisho akifanikiwa kuiandikia Sevilla bao la tatu hata hivyo haikutosha na hivyo Sevilla kuondoshwa katika Europa League.
Sampdoria wakiwa nyumbani wao ambao katika mchezo wao wa kwanza walichapwa kwa jumla ya mbao 3-1 kule Ujerumani na Bremen walikuwa na kazi ya kubadili matokeo wakiwa katika dimba la nyumbani la Luigi Ferraris wamejikuta licha ya kuongoza kwa jumla ya mabao 3-0 mpaka dakika ya 85 hata hivyo mabao ya Markus Rosenberg kunako dakika ya 90 na linginne la Claudio Pizarro katika dakika za nyongeza yamefanikisha Bremen kufuzu katika mabingwa ulaya.
Giampaolo Pazzini alifanikisha kupata mabao mawili ndani ya dakika 13 za mchezo wakati Antonio Cassano akiandika bao la tatu lakini baoa bao la dakika za majeruhi la Pizarro limemfanya aondoke dimbani akionekana shujaa katika mchezo huo.
Partizan Belgrade wao wamefanikiwa kuwachapa Anderlecht kwa jumla ya mabao 3-2 kwa njia ya mikwaju ya penalt katika mchezo uliopigwa Belgium. Baada ya sare ya mabao 2-2 mchezo ukaingia katika hatua ya matuta na wenyeji kupaisha jumla ya penalt tatu .
Partizan walianza kuongoza kwa mabao 2-0 mabao ya Cleo lakini Anderlecht walifanikiwa kusawazisha kupitia kwa Romelu Lukaku na Guillame Gillett
Gallas anataka ubingwa akiwa na SpursNyota mpya wa Tottenham William Gallas anaamini kuwa amejiunga na timu ambayo inacheza mchezo safi na kiwango bora kiasi kuwepo katika changamoto ya kuwania taji la uingereza ndani ya msimu huu.
Gallas mwenye umri wa miaka 33 amekuwa ni mchezaji wa kiwango cha juu kuhamia north London baada ya kufanywa hivyo na Sol Campbell jumapili ambaye ameingia mktaba wa mwaka mmoja.
Gallas anaamini kuwa atatumia mafanikio ya Campbell kutwaa taji la championship katika msimu wa kwanza akiwa na Arsenal na kwamba watatumia uzoefu huo kutwaa taji huko White Hart Lane.
Kuondoka kwa Gallas kumezua gumzo na maneno toka kwa mashabiki wa Arsenal na inaelezwa kuna baadhi ya mashabiki wamejiunga nao.
Liverpool inataka EURO milioni €30 kwa ajli ya kumtoa Javier Mascherano baada ya kugomea mpango wa kubadilishana na Aliaksandr HlebLiverpool imewaaleza Barcelona ya kwamba inahitaji pauni milioni £24.5 ambazo ni sawa na EURO milioni €30 cash kwa ajili ya kumuuza kiungo wao Javier Mascherano na kukataa mpango uliopendekezwa na Barcelona wa kubadilishana na nyota wao Aliaksandr Hleb .
Licha ya taarifa kuchomoza huku nyuma ya kuwa Barca imeweka mezani pauni milioni £12m ,mabingwa hao wa Primera Division kiukweli ni kwamba sasa wameweka offer ya pauni milioni £18.8 wakimjumuisha na nyota wa Aliaksandr Hleb ili kumpata muajentina Mascherano mwenye umri wa miaka 26.
Hata hivyo Liverpool wanasema hawako tayari kwa mpango huo wa mchezaji ukijumlisha na pesa na wanacho taka wao ni cash.
Barcelona wanataraji kurejea tena ndani ya saa 48 kukamilisha mpango mzima huku tayari kukiwa na taarifa kuwa mwenyewe mascherano amekubaliana na Barca juu ya kile kinachoitwa “personal terms” na kigogo hicho cha Catalan.
taarifa toka ndani ya klabu zinasema klabu hiyo ilikuwa na mpango wa kumuuza mwezi januari na kwamba huenda thamani yake ingepungua baada ya kusalia Anfield.
Katika michezo miwili ya hivi karibuni ya ufunguzi wa ligi Mascherano alikuwepo dimbani ikiwa ni pamoja na mchezo wa sare ya bao 1-1 dhidi ya Arsenal.
Jana alimwambia kocha Roy Hodgson alikuwa hajisikii kucheza dhidi ya Manchester City katika mchezo ambao walimbwela kwa kichapo cha mabao 3-0 katika dimba la City of Manchester.
Katika hatua nyingne kocha wa Barcelona Pep Guardiola amesema anakila sababu ya kuongeza kiungo mkabaji katika timu yake lakini ameshindwa kuthibitisha juu ya ujio Javier Mascherano na wala kuonyesha kama ndiye mchezaji target no 1.
Alipoulizwa kama mabingwa hao wa Hispania wako kwenye mpango wa kumnasa nyota huyo Guardiola amsema .
"nitamzunguzia mara baada ya mchezaji huyo kuwasili lakini akamtaka muuliza swali alielekeze swali lake kwa sporting director Andoni Zubizarreta.
Mlinzi wa Algeria Halliche akamilisha usajili na kujiunga na FulhamFulham imethibitisha kumsajili mlinzi wa Algeria Rafik Halliche kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea katika ya Benfica ya Ureno.
Halliche mwenye umri wa 23 ameelekea Craven Cottage kwa ada ambayo haijawekwa wazi baada ya kumvutia kocha Mark Hughes wa Fulham.
Akikaririwa Halliche anasema
"ninafuraha juu ya kukamilika kwa uhamisho wangu kuelekea Fulham ".
"kwangu Premier ndiyo “best league” duniani ambapo ninaweza kucheza na wachezaji wazuri na kupata fursa ya kushindana na timu zilizo bora kwahiyo kuwepo katika timu kama Fulham ni kitu ambacho kilikuwa kama ndoto.''
Halliche alijiunga na Benfica mwaka 2008 lakini kwa kipindi cha misimu miwili alikuwepo kwa mkopo katika klabu ya Nacional, na huu unakuwa ni usajili wa tatu kwa kocha Hughes baada ya Philippe Senderos, Jonathan Greening na Moussa Dembele.





