KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, August 30, 2010

TIMU YA TAIFA "TAIFA STARS" KATIKA HAFLA FUPI YA KUAGWA KABLA YA KUELEKEA ALGERIA NAIBU WAZIRI WA HABARI UTAMADUNI NA MICHEZO JOEL NKAYA BENDERA AKIMKABIDHI NAHODHA WA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA SHADRACK NSAJIGWA BENDERA YA TAIFA KABLA YA TAIFA STARS KUKWEA PIPA KUWAFUATA MBWEHA WA JANGWANI

Nahodha wa timu ya taifa Shadrack Nsajigwa akikabidhiwa jezi za timu ya taifa zitakazo tumika kwa mchezo wao dhidi ya Algeria September 3 kule Algers

Waziri Bendera akisisitiza jambo kwa wachezaji wa timu ya taifa wakati wa hafla ya kuwaaga hii leo

Kocha wa timu ya taifa taifa stars Jan Paulsen sambamba na msaidizi wake Silverster Mash wakimsikiza naibu waziri waziri wa habari utamaduni na michezo Joel Nkaya Bendera katika hafla fupi ya kuagwa kwa kikosi hicho hii leo.

No comments:

Post a Comment