KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, September 1, 2010

Michael Ballack arejeshewa unahodha Ujerumani na kocha wake LoewJoachim Loew amtangaza Michael Ballack nahodha huku Manuel Neuer akitangazwa kuwa mlinda mlango nambari moja
Michael Ballack amefanikiwa kumshnda aliyekuwa kaimu nahodha wa ujerumani katika fainali za kombe la dunia nchinia Afrika kusini Philipp Lahm baada ya upinzani mkubwa uliochomoza miongoni mwao juu ya nani ni nahodha wa timu ya taifa ya ujrumani katika kuelekea katika za kusaka kufuzu kwa fainali za mataifa ya ulaya Euro 2012.
AKIKARIRIWA na wanahabari hkatika mkutano wake na wanahabari hao huko Frankfurt kocha mkuu wa Ujerumani Joachim Loew amesema
"baada ya mazungumzo binafsi ya uwazi na ukweli uaminifu na Michael Ballack,nimeamua kuendelea na Michael Ballack kama nahodha wa kikosi na Philipp Lahm ambaye alikuwa nahodha aliyeonyesha umahiri katika fainali za kombe la dunia atakuwa naibu wake. Kama Philipp atakosekana basi Bastian Schweinsteiger atakamata kitambaa cha unahodha”armband”.

PHILIP LAHMTangazo la Loew sasa loinamaliza ubishi na vita kati ya Ballack na Lahm ambao ulianza kuibuka katika majira yote ya kiangazi
Pamoja na Ballack kurejeshewa heshima hiyo hata hivyo atalazimika kusubiri kwa mwezi mmoja kabla ya kukubidhiwa kitambaa chake rasmi kutokana na kukabiliwa bado na majeraha na takosekana katika michezo ya kufuzu mataifa ya ualaya dhidi ya Belgium na Azerbaijan na mpinzani wake Lahm ataendelea kuonja raha ya unahodha kabla ya ku-surrender mwezi rasmi mwezi October.
Sambamba na hilo kocha huyo wa ujerumani Loew ametangaza waziwazi kuwa mlinda mlango Manuel Neuer ndiye mlinda mlango nambari moja wa ujerumani.

No comments:

Post a Comment