AZAM FC SASA YAONGOZA KWA KUWA NA WACHEZAJI WENGI KATIKA TIMU YA TAIFA"TAIFA STARS"
Azam FC imeongoza kutoa wachezaji wengi timu ya taifa Taifa Stars inayosafiri kwenda Algeria, Azam imetoa wachezaji 7, Yanga 5, Simba 3, Mtibwa 2 na wanne wa nacheza soka nje ya nchi, wachezaji wa Azam FC ni Chove, Aggery, Nyoni, Jabir, Selembe, Bocco na Ngasa
PICHANI JUU NI MRISHO KHALFAN NGASA AKIWA NA KIKOSI CHA AZAM FC
Kufuatia kufungwa kwa uwanja wa Uhuru kutokana na kufanyiwa matengenezo, Azam FC itatumia uwanja wa Mkwakwani Mjini Tanga kama uwanja wake wa Nyumbani. Wameomba kwa shirikisho la mpira wa miguu kuutumia uwanja wa mkuu wa Taifa kwa ajili ya mechi kati yetu na Simba na Yanga. na mzunguko wa pili utakapoanza watakuwa wakitumia uwanja wao unaoendelea na ujenzi huko Chamazi - Mbagala
No comments:
Post a Comment