KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Tuesday, October 12, 2010

2018 WORLD CUP BID :BLATTER KUKUTANA NA WAZIRI DAVID CAMERON WA UINGEREZA JUMATANO HII

Rais wa shirikisho la kandanda dunia FIFA Sepp Blatter anataraji kukutana waziri mkuu wa Uingereza David Cameron huko Downing Street jumatano hii kuangalia namna mpango wa Uingereza katika kuandaa fainali za kombe la dunia mwaka 2018 wakati maandalizi yao yakiwa katika hatua za mwisho kabla ya FIFA kutoa maamuzi ya nchi gani itaandaa fainali hizo.

Blatter alikutana na naibu waziri mkuu wa Uingereza Minister Nick Clegg katika majira lakini sasa amekubali kukutana na Cameron face to face kufuatia kupata mwaliko huko Number 10.

Blatter ataangalia presentation ya England's bid na kukutana na mawaziri wa serikali na football figures na ambassadors . wajumbe wa kamati ya utendaji ya FIFA ikiwa na wajumbe 24 watapiga kura ya nchi gani ya kuandaa fainali hizo za kombe la dunia kwa miaka ya 2018 na 2022 katika kikao cha December 2.

No comments:

Post a Comment