
hakuanza katika mchezo dhidi ya Liverpool jumapili iliypita baada ya kukumbwa na malaria lakini hata hivyo aliingia kipindi cha katika mchezo huo ambao ulimalizika kwa Chelsea kuchapwa kwa mabao 2-0 na Liverpool .
meneja wa Blues Carlo Ancelotti amesema hakuwa na uhakika ni namna gani Drogba alikumbwa na matatizo hayo ya ki-tropical lakini anasema atakuwepo katika mchezo wa jumatano dhidi ya Fulham.
No comments:
Post a Comment