KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, December 6, 2010

Arsenal kumkosa Thomas Vermaelen mpaka mwakani

Mlinzi wa kati wa Arsenal Thomas Vermaelen imethibitika ya kwamba takuwa nje ya uwanja mpaka baada ya mwaka mpya akisumbuliwa na matatizo ya Achilles tendon.
Mlinzi huyo mwenye umri wa miaka 24 amekuwa nje ya dimba tangu kupatwa na tatizo hilo wakati akiitumikia timu yake ya taifa Belgium katika mchezo wa kuwania kufuzu kwa fainali za Euro 2012 mchezo ambao ulikuwa ni dhidi ya Uturuki mchezo ambao ulifanyika September 7.
Bosi wa washika bunduki wa London Arsene Wenger amesema hakuna maelezo ya kina yanayo pelekea mlinzi wake kuendelea kusalia nje ya dimba lakini kwasasa ni kwamba ni kwamba anaendelea kujilinda zaidi .
Anasema "tunamtaka arejee na nina matumaini atarejea hivi punde lakini si kabla ya ."

No comments:

Post a Comment