Beckham ashinda tuzo ya “lifetime achievement”
Nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza David Beckham amefanikiwa kupata tuzo ya shirika la utangazaji nchini Uingereza BBC maarufu kama “BBC Sports Personality Lifetime Achievement”.
Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 35 ndiye kwasasa ndiye mchezaji aliyeshikilia rekodi kuichezea kwa muda mrefu timu ya taifa ya Uingereza lakini pia akiwa na rekodi ya kushinda taji la ligi kuu ya kandanda nchini Uingereza mara nyingi akishinda taji hilo akiwa na Mashetani wekundu Manchester United lakini vilevile taji la vilabu bingwa Ulaya akiwa na United.
Alifanikiwa pia kutwaa taji la ubingwa wa kandanda nchini Hispania Spanish league akiwa na Real Madrid akiwa anahamia klabu hiyo akitokea United kwa ada ya uhamisho ya pauni milioni £25m kabla ya kuondoka na kujiunga na Los Angeles Galaxy na baadaye kukopeshwa katika klabu ya AC Milan kwa misimu miwili tofauti.
Kumbuka mwaka 2001 Beckham alitangazwa kama “BBC Sports Personality of the Year”.
WALIOWAHI KUSHINDA BBC LIFETIME AWARD WINNERS HUKO NYUMA
2009 Seve Ballesteros
2008 Sir Bobby Charlton
2007 Sir Bobby Robson
2006 Bjorn Borg
2005 Pele
2004 Sir Ian Botham
2003 Martina Navratilova
2002 George Best
2001Sir Alex Ferguson
Ushindi wa tuzo hiyo kwa Beckham imeonekana kuchagizwa zaidi na uwepo wake kwa kipindi cha miaka takribani 10 Old Trafford akiwa chini ya meneja wa Manchester United Sir Alex Ferguson ambaye mwaka 2001 alikuwa ni mshindi wa kwanza wa “BBC lifetime award in 2001”.
BBC yamzawadia bosi wa F1 Frank Williams

Sir Frank Williams amepokea tuzo ya Helen Rollason katika hafla ya utoaji tuzo za kimichezo zilizo andaliwa na BBC yaani "2010 BBC Sports Personality of the Year”.
Akiwa kama mmoja wa waanzilishi na bosi wa timu ya Williams Formula 1 William mwenye umri wa miaka 68, amekuwa akitumia “wheelchair” ukiwa msaada wa kuweza kutembekelea tangu kuvunjika kwa shingo kufuatia ajali ya gari iliyotokea mwaka 1986.
Licha ya hayo bado timu ya magari ya Williamsaaimefanikiwa kushinda mataji 16 ya kimashindano na katika historia ya mashindano hayo ya F1 Ferrari na McLaren.

Mcheza tenis nambari moja kwa ubora duniani Rafael Nadal yeye ameshinda tuzo ya BBC Overseas Sports Personality ya mwaka huu.
Mchezaji huyo wa tenis ambaye kwasasa ana umri wa miaka 24 akiwa ni raia wa Hispania amefikia mafanikio hayo baada ya ushindi mara tatu wa “Grand Slams” kwa mwaka huu wa 2010, French Open, Wimbledon na US Open,pasi na kusahau three Masters titles.

No comments:
Post a Comment