Kiungo wa Bayern Munich Bastian Schweinsteigerametajwa kama ndiye mchezaji bora wa nchini ujerumani wa mwaka huu unaomalizikia zikiwa zimesalia siku tatu na jarida la kimichezo la Kicker magazine la nchini humo.
Kiungo huo mwenye umri wa miaka 26 amekuwepo katika kikosi cha mafanikio kilicho twaa taji la mwaka huu la German Bundesliga na michuano mingine ya DFB-Pokal inayofanana na michunao kama ya FA kwa nchini uingereza na hata mafanikio ya kufikia fainali ya ligi ya mabingwa barani ulaya.
Wakati hayo yakiwa hivyo kunako majira ya joto ya kombe la dunia alikuwa ni mmoja kati ya wale waliotoa mchango mkubwa katika kikosi cha timu ya taifa kilicho fikia hatua ya nusu fainali kule nchini Afrika kusini .
Hatimaye mchango wa Schweinsteiger umetambulika ndani ya miezi 12 na jarida hilo la kimichezo la nchi ni humo .
Massimo Moratti anasema mafanikio ya Jose Mourinho na kukosekana kwa imani kwa Rafael Benitez imekuwa ndiyo sababu ya kufanya vibayakwa Inter
Rais wa Inter milan Massimo Moratti ameelezea sababu ya iliyopelekea Rafael Benitez kushindwa kufikia mafanikio na hatimaye kutimuliwa .
Rafael Benitez alikuwa ni mhanga wa wa kushindwa kwa Inter ikiwa ni baada ya kuondoka kwa Jose Mourinho na kushindwa kuhimili timu hiyo .
Kocha huyo raia wa Hispania aliondoshwa kazini juma lililopita baada ya baada ya uwepo wake kuonekana si lolote si chochote licha ya kufanikiwa kutwaa taji la kombe la dunia la vilabu na Moratti anaamini kuna mtu ambaye amekuwa ni kigezo cha yeye kuwa nje ya mafanikio
Anamtaja Mourinho akisema
"Mourinho amekuwa ni kipimo kwake kuna mengi katika hilo kuthibitisha hilo,"
Moratti alikuwa akizungumza na La Stampa jarida la kimichezo.
Bosi wa Chelsea Boss Carlo Ancelotti Wants His Players To 'Wake Up' Following Arsenal Defeat
Meneja wa Chelsea Carlo Ancelotti amewataka wachezaji wake kuamka baada ya kuwa usingizini katika siku za hivi karibuni hii ni kauli ambayo inakuja masaa machache baada ya kutepeteshwa na Arsenal usiku wa jana katika moja ya mchezo wa ligi kuu ya kandanda nchini uingereza kwa bao 3-1.
Mabao ya haraka haraka ya akina Alex Song, Cesc Fabregas na Theo Walcott yaliwapa washika bunduki “control” ya mchezo huku Chelsea wakipata bao la kujifariji kupitia kwa mlinzi Branislav Ivanovic kufuatia kuuparaza kwa kichwa baada ya mpira wa adhabu uliopigwa na Didier drogba .
Ni miezi miwili tu imepita Chelsea walikuwa katika kilele cha uongozi wa ligi hiyo maarufu kama Premier League tena kwa idadi kubwa ya points na kuwadhaniwa kazi ingekuwa rahisi kwao kutetea taji hilo,lakini sasa wanajikuta wakiaachwa kwa points sita na vinara wa ligi Manchester United wenye points 37 na ziada ya mchezo mmoja ili kulingana kimichezo.
Bosi wa huyo wa zamani wa AC Milan Ancelotti hakuvutiwa na kikosi chake ambacho kimekuwepo dimbani katika takribani michezo sita bila ya kuchomoza na ushindi .
Akikaririwa na gazeti la The Mirror anasema
"The difference was the quality,"
"Arsenal walikuwa kwenye ubora dimbani kuliko sisi put more quality on the pitch than us. Walikuwa wanauwezo wa kuchezea gozi wanavyotaka kuliko sisi walikuwa zaidi yetu.
"tulikuwa katika wakati mgumu sasa inabidi tujaribu kubadilika katika mchezo ujao dhidi ya Bolton.
"lazima tuuendeleea kufanya kazi kubwa ,sina maana kuwa tulikuwa hatufanyi kazi tumefanya hivyo lakini tumeshindwa kupata tutajaribu mchezo ujao.
"msimamo si mzuri na hiyo ndiyo hali halisi lazima tuamke kwasasa bado tumelala"
Chelsea itakuwa dimbani dhidi ya Bolton Wanderers huko Stamford Bridge mchezo ambao utapigwa hapo kesho
Thiago Silva anasema tutapoteza mchezaji wa kiwango cha dunia endapo Ronaldinho ataondoka Milan
Thiago Silva anaamini kuwa klabu yake ya Milan maarufu kama Rossoneri itakuwa imefanya kosa kubwa la kumkosa mchezaji wa kiwango cha dunia kama Ronaldinho ataruhusiwa kuondoka na kuelekea Gremio ya kwa Brazil
Mlinzi huyo wa Milan Thiago Silva hapendezwi kuona Ronaldinho akiondoka katika klabu hiyo katika dirisha la usajili la mwezi January
Wachezaji hao walikuwa katika siti moja pamoja katika ndege wakitokea Sao Paolo kuelekea Dubai ambapo Rossoneri kwasasa wamejiweka huko katika kipindi hiki cha mazoezi ya majira ya baridi.
Anakaririwa na Sky sports 24 anasema
"kama Ronaldinho ataondoka tutapoteza kifaa cha kiwango cha kidunia,hata hivyo tulipokuwa katika ndege hatukupata nafasi ya kuzungumzia juu hili tulikuwa tumelala toka Sao Paolo mpaka Dubai."
Silva amezungumzia juu ya kocha wake wa zamani Leonardo aliye hama mji kutoka mji mmoja kwenda mji mwingine kuifundisha Inter Milan ambao ni wapinzani wakubwa wa milan.
Anasema
"taarifa hizi zimewasili tayari huko Brazil.nashangazwa na hili kwa kuwa hakufanya jambo la kushangaza huko nyuma alipokuwa na Milan,na sasa kaelekea Inter,"
"ni mtu mzuri akiwa ndani na nje ya uwanja anaweza kufanya kazi nzuri kule
Nyota huyo mwenye miaka 26 alimalizia kwa kusema anaendelea vizuri baada ya maumivu yake ya mguu.
Steve Kean apewa unahodha wa Blackburn toka kwa Chris Samba
Meneja mpya wa Blackburn Steve Kean amemvua unahodha Christopher Samba kufuatia mlinzi huyo kutangaza kutaka kuondoka katika klabu hiyo yenye maskani yake Ewood Park.
Maumivu ya ankle yamemuweka nje ya dimba Samba katika mchezo ambao walikubali kichapo cha mabao 2-0 toka kwa Stoke, lakini Kean anasema hata kama amerejea katika hali nzuri kiafya hawezi kuingoza Rovers.
Anakaririwa Kean akisema
"Christopher anaweza kucheza kucheza lakini hawezi kuwa nahodha kwakuwa ameshatangaza kutana kuondoka .
"ni mpaka pale atakapo sema anafuraha kuendelea kusalia ."
Mancini anamuonya Balotelli kurejesha kiwango December 28, 2010
Meneja wa Manchester City Roberto Mancini amemueleza kinaga ubaga mshambuliaji wake Mario Balotelli ya kwamba lazime aonyeshe uwezo ili arejee katika kikosi cha kwanza baada ya kuwa nje ya dimba katika mchezo wa siku ya Boxing day dhidi ya Newcastle.
Mshambuliaji huyo kinda lakini matata katika kuropoka maneno yasiyo na maana na kukeresha amekuwa na matatizo mengine katika siku za hivi karibuni kutaka kurejea nyumbani Italia wengine wakisema hayo ni maradhi yanayo tambulika kama homesickness.
Akitokea Inter Milan miezi mitano iliyopita kwa thamani ya pauni za kingereza milioni £25 meneja Mancini amekuwa akipata shida na jinsi ya kumtumia kwa kuwa amepoteza mwelekeo
Anasema mancini
"kama Mario anakuwa katika kiwango atacheza kama hatakuwa katika kiwango hatocheza anaendelea kwa kuonya kama hataki kujituma hatacheza.
Mario ni mchezaji wa aina yake lakini haeleweki lazima aongeze juhudi na kiwango pia."
Balotelli mwenye umri wa miaka 20 ana kazi ya kujituliza lakini ukorofi na kutokuwa na nidhamu imekuwa ikimuweka katika wakati mgumu hususani baada ya kuzichapa katika mazoezi na mwenzake Jerome Boateng mapema mwezi huu kiasi Mancini kujikuta katika hali ya sintofahamu juu ya hatma ya mshambuliaji huyo kinda.
Mshambuliaji wa kimataifa wa Cameroon Samuel Eto’o ametaka amani nchini Ivory coast
Mshambuliaji wa kimataifa wa Cameroon na pia Inter Milan ya Italia Samuel Eto’o Fills ameonyesha kutofurahishwa na mvutano wa kisiasa unao isumbua Ivory Coast kwasasa.
Kwa mujibu wa taarifa zilizo arifiwa katika mtandao Sport365.fr Eto’o amewataka wanasiasa hao wan chi hiyo kufikia muafaka ili kuepusha matatizo ambayo yanaweza kupelekea vita vya wenyewe kwa wenyewe kama ilivyokuwa huko nyuma katika taifa hilo la Afrika ya magharibi.
Anakaririwa akisema
"pamoja na yote ninasali kwa mungu kuleta amani na kuilinda Ivory Coast ,”.
Samuel Eto’o ana mke ambaye ni mzaliwa Ivory Coast anayeitwa Georgette ambaye amezaa naye watoto watatu.
Kama ilivyo kwa Eto’o naye Didier Drogba ambaye hasa huko ndiyo nyumbani juma lililopita alifanya hivyo hivyo lakini kwa upande wake mlinzi wa Manchester City Kolo Toure amelalamikia ujumbe wa Drogba kuelekea nyumbani kwao akisema Drogba hakumshauri wakati akituma ujumbe huo muhimu nyumbani kwao .
Vyombo vya habari vya nchini Ivory Coast vimekuwa vikilaumu malumbano ya kisiasa ndani ya nchi hiyo malumbano ambayo yamewagawa wananchi wa nchi hiyo katika sehemu mbili yaani kaskazini na kusini
Drogba anatokea kusini ya nchi hiyo ilhali Kolo Toure akiwa ni mzaliwa wa upande wa kaskazini ya nchi hiyo.

No comments:
Post a Comment