KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, June 25, 2012

Asamoah Gyan apewa tuzo Ghana


Asamoah Gyan
Mshambuliaji wa kimatiafa Ghana ambaye pia kwasasa anaitumikia Al Ain ya falme za kiarabu  Gyan Asamoah amezawadiwa tuzo ya mchezaji ghali na mfungaji bora katika eneo la wachezaji wa timu ya taifa ya nchini Ghana katika hafla ya utoaji tuzo ya mchezaji bora nchini Ghana.
 Mshambuliaji wa zamani wa black star Stephen Appiah and Richard Kingson nao pia wamezawadiwa tuzo za kujitolea katika timu ya taifa.
Katika tuzo ya timu ya taifa ya viajan “Black Starlet category” Isaac Afoakwah amepewa tuzo ya mchezaji bora toka timu hiyo huku Nasiru Mohammed mfungaji bora na Abdul Baba Rahman akipewa tuzo ya kujitoa zaidi.  

No comments:

Post a Comment