KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, June 15, 2012

Kenya kuandaa michuano ya mpira wa kikapu “Fiba Africa”


Kenya inatarajia kunada michuano ya mpira wa kikapu Fiba Africa Afro-basket kwa wachezaji wenye umri chini ya miaka 16 ambayo imnatarajia kuanza mwezi August
Makamu mwenyekiti wa chama cha mpira wa kikapu nchini Kenya George ‘Nyundo’ Omondi amethibtisha kuwa michuano hiyo itafanyika  kuanzia August 27-29 jijini Nairobi.
Hii itakuwa ni michuano ya kwanza barani Afrika kuandaliwa na Kenya tangu mwaka 1997.
Amesema michuano ya vijana wenye umri chini ya miaka 18 kwa wavulana na wasichana michuano yao itafanyika mwezi July

No comments:

Post a Comment