KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, July 9, 2012

BREAKING NEWS: QPR yamsajili Park Ji-Sung

Park Ji Sung
QPR imefanikiwa kumsajili kiungo wa kimataifa wa Korea Kusini na Manchester United Park Ji-Sung ambaye amesaini mkataba wa miaka miwli katika kikosi hicho cha kocha Mark Hughes ambayo imelipa ada ya pauni milioni  £2.5 kama sehemu ya kwanza ya malipo yake ambayo sehemu kama hiyo itakamilishwa baada ya timu hiyo kunusurika kushuka daraja msimu ujao
Park anaelekea Loftus Road baada ya kuitumikia kwa miaka saba Old Trafford lakini amesema kwake yeye offer ya QPR ilikuwa nzuri kiasi haikuwa rahisi kuiacha.
amekaeririwa Park akisema
"QPR ni klabu yenye historia kubwa na huo ni utamaduni wake na malengo ni mafanikio ya kiwango cha juu,".

No comments:

Post a Comment