KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Sunday, July 8, 2012

British GP: Mark Webber amshinda Fernando Alonso kwa tabu

Mark Webber wa Red Bull akishangilia

Mark Webber akishangilia

Dereva wa Red Bull Mark Webber amemshinda dereva wa Ferrari Fernando Alonso kwa shida katika mbio maarufu za magari za British Grand Prix.
Alonso aliongoza katika sehemu kubwa yam bio hizo tangu awali lakini Webber ametumia faida ya matatizo ya tairi ya mpinzani wake baada ya kumaliza kituo cha mwisho kuelekea kumaliza.
Webber alimshinda Alonso  Brooklands huku zikiwa zimesalia laps nne .
Dereva mwingine wa Red Bull Sebastian Vettel amemaliza katika nafasi ya tatu mbele ya dereva wa Ferrari  Felipe Massa.
Dereva wa McLaren Lewis Hamilton alikuwa katika wakati mgumu akimaliza nafasi ya nane na mwenzake wa kampuni moja Jenson Button akimaliza nafasi ya 10.

   

No comments:

Post a Comment