Gianfrenco Zola |
Bosi wa
zamani wa West Ham Gianfranco Zola amethibitishwa kuwa meneja mpya wa Watford
inayoshiriki ligi ndogo ya soka ya England Championship.
Zola mwenye
umri wa miaka 45 amesaini mkataba wa miaka miwli akichukua nafasi ya Sean Dyche
ambaye alifukuzwa kazi wamiliki wa klabu hiyo Pozzo family.
Zola alikuwa
meneja wa West Ham toka mwaka 2008 mpaka 2010 baada ya kuonekana kwenye kipindi
kirefu cha uchezaji soka kwa mafanikio katika klabu ya Chelsea ambayo aliichezea
jumla ya michezo 300.
Kafundisha
West Ham kuanzia September 2008 mpaka May 2010
Amekuwa
in charge katika michezo 80 akishinda michezo 23 kufungwa michezo 36 na
kupata sare 21.
Ilimaliza msimu wa 2008-09 katika nafasi ya
tisa kabla ya kupata dhahma katika msimu wa 2009-10 alipomaliza ligi katika
nafasi 17 points tano kabla ya mstari mbaya relegation zone.
Anakuwa
meneja wa pili Mtaliano kuifundisha Watford, Gianluca Vialli alikuwa wa kwanza
msimu wa 2001-02.
The Pozzos
familia inayomiliki klabu hiyo pia wanamiliki Udenise inayoshiriki ligi kuu ya
soka ya Italia Serie A na klabu
nyingine ni kule nchini Hispania ya Granada
No comments:
Post a Comment