Micar Richards |
Real Madrid huenda
wakasaka £25 kwa ajili ya kumnasa Micar Richards ambaye klabu ya Manchester
City imetangaza dau hilo.
"Real
Madrid tayari wana mlinzi wa kulia , Alvaro Arbeloa na pia Sergio Ramos wakati
pia kuna uwezekano mlinzi wa kati Carvalho na Lassana Diarra ambao pioa wan auwezo
wa kucheza ulinzi wa kulia wakasalia."
Kigogo hicho cha Hispania na meneja kimekuwa
sokoni kusaka mlinzi mwingine wa kati na meneja wake Jose Mourinho anaonekana
kusaka zaidi mlinzi versatile toka Manchester City Richards.
Lakinini
hata hivyo inaarifiwa kuwa Real Madrid hawako tayari kutumia zaidi ya pauni milioni
£10 kununua mchezaji wa kushindana na Alvaro Arbeloa.
No comments:
Post a Comment