KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, July 19, 2012

DRAW EUROPA LEAGUE KESHO LIVERPOOL KUTOKEA MAREKANI


Draw ya mzunguko wa tatu wa michuano ya michezo ya kuwania kufuzu  ligi ndogo ya Ulaya (Europa League) inatarajia kufanyika kesho Ijumaa ambapo Liverpool, Athletic Bilbao, Inter Milan na Marseille wanaingia mashindanoni.
Timu zinaingia katika makundi madogo mawili ya timu kiongozi na timu zisizokuwa kiongozi katika hatua hii ikiwa na maana ya uwezekano wa kuwepo michezo sita katika michezo itakayopigwa August 2 na 9.
 Liverpool ambayo itacheza dhidi ya Spurs nchini Mrekani siku tano kabla ya mchezo wa kwanza kuchezwa huenda ikasafari mwendo mrefu kuelekea Ukrane kumenyana dhidi ya Arsenal Kiev, Renova ya Macedonia, Gomel ya Belarus au Israel kukabiliana na Maccabi Netanya.
Lakini pia huenda wangependa kukutana dhidi ya Dundee United ya Scottiland katika kundi lao .
Group One
 Seeds
 Khazar Lankaran or Lech Poznan
 Naftan Novopolotsk or Red Star Belgrade
 Differdange or Gent
 Levski Sofia or FK Sarajevo
 Marseille
 Sparta Prague
Non-seeds
 Slovan Bratislava or Videoton
Eskisehirspor or St Johnstone
JJK Jyvaskyla or FK Zeta
 VMFD Zalgiris or Admira Wacker
 AIK or FH Hafnarfjordur
 Omonia
Group Two
 Seeds
 Dinamo Moscow
 Bursaspor
Young Boys or Zimbru Chisinau
Steaua Bucuresti
ND Mura 05 or CSKA Sofia
 Liverpool
Non-seeds
 NK Osijek or Kalmar FF
 Arsenal Kiev
 Spartak Trnava or Sligo Rovers
Renova or Gomel
Dundee United
Maccabi Netanya or KuPS Kuopio
 Group Three
Seeds
 Hannover 96
Athletic Bilbao
Liepajas Metalurgs or Legia Warsaw
 Anzhi Makhachkala or Budapest Honved
Rosenborg or Ordabasy Shymkent
Maritimo
Non-seeds
 Shakhtyor Soligorsk or SV Ried
Servette or Gandzasar Kapan
Lokomotiv Plovdiv 1936 or Vitesse Arnhem
 Inter Baku or Asteras Tripolis
Siroki Brijeg or St Patrick's Athletic
Slaven Koprivnica or Portadown
Group Four
Seeds
 Metalurgi Rustavi or Viktoria Plzen
APOEL or FK Senica
Heerenveen
Inter Milan
 Dacia Chisinau or IF Elfsborg
Rapid Vienna
 Non-seeds
 Rapid Bucuresti or Myllykosken Pallo-47
AC Horsens
 Hajduk Split or Skonto FC
Vojvodina or FK Suduva
Ruch Chorzow or FK Metalurg Skopje
KF Tirana or Aalesunds
 Group Five
 Seeds
 Metalurh Donetsk or Celik Niksic
 PAOK
Genk
Levadia Tallinn or Anorthosis Famagusta
FC Twente or Inter Turku
Non-seeds
 Milsami Orhei or FC Aktobe
Arhus or FC Dila Gori
 Bnei Yehuda Tel-Aviv or FC Shirak
NK Olimpija Ljubljana or Tromso
 Mlada Boleslav or Thor Akureyri

No comments:

Post a Comment