KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, July 12, 2012

Villas-Boas athibitisha Tottenham kumtaka Adebayor

Emmnuel Adebayor

Meneja wa Tottenham Andre Villas-Boas amethibitisha juu ya kuwepo nia ya klabu yake kumsajili mshambuliaji wa Manchester City Emmanuel Adebayor.
Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 28 ndani ya jumla ya michezo 33 ameifungia timu yake hiyo jumla ya mabao 17 akiwa ndani mkopo huko London  kaskazini na taarifa zaidi zinasema zaidi ya pauni milioni zinaandaliwa kwa ajili ya kukamilisha usajili wake wa minajili ya kudumu.
Bosi huyo mpya mreno amekuwa muwazi juu ya nia yake ya kuongeza mshambuliaji na kueleza kutaka huduma ya ya Togolese huyo.

No comments:

Post a Comment