LIGI KUU TANZANIA BARA: MNYAMA ARARUA KATONI TATU ZA UNGA WA AZAM.ALAMBA ICE.
 |
Mshambuliaji
wa Simba Emanuel Okwi akiukimbilia mpira huku beki Ibrahim Shikanda akijiandaa kuupiga mpira huo kwenye mchezo wa ligi kuu uliochezwa Taifa na simba
kushinda mabao 3-1. |
 |
Emanuel Okwi akikimbia huku akishangilia bao lake la kwanza alilofunga. |
 |
Wachezaji wa Simba wakishangilia bao la pili la Emmanuel Okwi kwa furaha. |
 |
Mshambuliaji wa chipukizi wa Simba Ramadhan Singano wa Simba akimtoka
beki wa Azam Sahm Nuhu kwenye mchezo wa ligi uliochezwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. |
No comments:
Post a Comment