Matokeo hayo yameishusha Azam mpaka nafasi ya tatu baada ya hii leo kukubali kichapo cha mabao 3-1 toka kwa Simba katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambapo sasa wamesalia na alama zao 18.
MICHEZO YA LEO
SIMBA 3 VS 1 AZAM (TAIFA)
OLJORO 0 VS 1YANGA (SHEIKH AMRI ABEID
AFRIKAN LYON 1 VS 1 KAGERA SUGAR (CHAMAZI)
RUVU SHOOTING 2 VS 1 POLISI MORO (MABATINI)
RATIBA MICHEZO YA KESHO TAREHE 28/10/2012
MGAMBO JKT VS PRISONS ( MKWAKWANI)
TOTO AFRIKA VS MTIBWA SUGAR (KIRUMBA)
JKT RUVU VS COASTAL UNION (CHAMAZI)
MZUNGUKO WA 11 NI KAMA HIVI
MZUNGUKO WA 11 NI KAMA HIVI
31.10.2012. | 72 | YOUNG AFRICANS | MGAMBO JKT | NATIONAL STADIUM | DAR ES SALAAM | |
31.10.2012. | 77 | POLISI MOROGORO | SIMBA | JAMUHURI | MOROGORO | |
31.10.2012. | 71 | TOTO AFRICANS | KAGERA SUGAR | CCM KIRUMBA | MWANZA | |
31.10.2012. | 73 | JKT RUVU | AFRICAN LYON | AZAM COMPLEX | DAR ES SALAAM | |
31.10.2012. | 74 | JKT OLJORO | MTIBWA SUGAR | SH. AMRI ABEID | ARUSHA | |
31.10.2012. | 75 | RUVU SHOOTINGS | TANZANIA PRISONS | MABATINI | PWANI | |
01.11.2012 | 76 | AZAM | COASTAL UNION | AZAM COMPLEX | DAR ES SALAAM | |
No comments:
Post a Comment