RAIS KIKWETE AKUTANA NA WASANII WA TASNIA MBALIMBALI IKULU. LENGO LA ZIARA YA WASANII NI KUMSHUKURU KWA KUJALI SANAA MBALIMBALI IKIWEMO MUZIKI NA FILAMU
 |
Wasanii mbalimbali wakisalimiana na Mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam, katikati
ni mzee King Kikii, mama Shakira Said, Juma Ubao ambaye ni mwenyekiti wa chama
cha muziki wa dansi Tanzania CHAMUDATA, Bi Carola Kinasha, Mwana FA msanini wa
muziki wa kizazi kipya, Hamza Kalala 'Komandoo', Waziri Ally na Ruge Mutahaba.Picha naMichuzi.
|
 |
Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa
wasanii wakongwe wa muziki wa dansi pamoja na filamu uliotembelea Ikulu jana
jijini Dar es Salaam kwa lengo la kumshukuru kwa kuwajali wasanii wa Tanzania
wa kada zote ambapo mwaka huu Rais alitoa tuzo kwa wasanii wakongwe akiwemo
Muhidin Maalim Gurumo, Marijani Rajabu na Fatma bint Baraka (Bi Kidude), marehemu Fundi Saidi( mzee Kipara na
mwanariadha wa zamani John Akwari. Picha na Michuzi
|
No comments:
Post a Comment