KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Tuesday, May 21, 2013

HATIMAYE AMEZALIWA ROONEY JUNIOR MWINGINE ANAITWA KLAY, WAYNE ROONEY AFURAHIA BAADA YA MTOTO WAKE WA PILI KUZALIWA

Happy family: Rooney tweeted this picture of himself, Coleen, Kai and Klay
Happy family: Rooney tweeted this picture of himself, Coleen, Kai and Klay
Wayne Rooney amesema kuwa amefurahia sana mapema asubuhi ya leo kuzaliwa mtoto wake wa pili Klay.
Mkewe Coleen alikimbizwa hospitali usiku mwingi wa kuamkia asubuhi ya kuamkia Jumanne.

Rooney kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter, alivunja habari hiyo hewani kwa wanaomfuata watu zaidi ya milioni sita akiandika
'mtoto wetu mzuri wa kiume Klay Anthony Rooney amezaliwa saa 8:11 usiku, akiwa na uzito wa 7Ib 11.1/2 oz. Wote Klay na Coleen wako poa.......tunafuraha sana!!'

Roo beauty: Wayne Rooney arrives with son Kai on Tuesday to see his newborn child
Wayne Rooney akiwasili hospitali na mtoto wake Kai kumuona mtoto mpya.

Roo beauty: Wayne Rooney arrives with son Kai on Tuesday to see his newborn child
All smiles: Coleen posted this picture on Twitter with the words: 'Thanks everyone for the lovely messages'
Coleen ametupia picha hii katika ukurasa wa Twitter na maneno yafuatayo 'Thanks everyone for the lovely messages'

Hands on: Wayne and Coleen Rooney leave the hospital after the birth of their second son
Hands on: Wayne and Coleen Rooney leave the hospital after the birth of their second son

Wayne na Coleen Rooney wakiondoka hospitali baada ya kuruhusiwa kuondoka kufuatia kuzaliwa kwa mtoto wao wa pili Klay.

It's a boy: Coleen's mum and Kai head into the hospital
Mama mkwe wake na Rooney akiwa na mjukuu wake Kai wakielekea hospitali.

We are family: Wayne and Coleen Rooney, who already have three-year-old Kai, announced the arrival of their second son Klay in the early hours on Tuesday morning
Wayne na Coleen Rooney, wakati akiwa mjamzito wakiwa na mtoto wao mwenye umri wa miaka mitatu.
Making it a double: Wayne announced the good news on his Twitter page in the early hours of Tuesday morning
Making it a double: Wayne announced the good news on his Twitter page in the early hours of Tuesday morning
Happy days: After going into labour late on Saturday night, Coleen was delighted to announce the arrival of her second son

No comments:

Post a Comment