The Happy One: Jose Mourinho akiongea katika mkutano wake wa kwanza na waandishi wa habari ndani ya viunga vya Stamford Bridge
Akiongea mbele ya waandhi wa habari takribani 250 Mreno huyo mwenye umri wa miaka 50 aliuulizwa kama bado anaendelea na jina lake la utani la Special One, Jibun lake lilikuwa ni 'I am the Happy One. I am very happy.
Jose Mourinho amedai kuwa "Ni
mtu mwenye furaha" baada ya kurejea Chelsea, na kuongeza yeye ni meneja
bora kuliko alivyokuwa.
Mreno huyo mwenye umri wa miaka 50
ambaye hapo kabla aliongoza The Blues kati ya mwaka 2004 na 2007, alitangazwa
rasmi kurejea Chelsea June 3.
Katika mkutano wake na waandishi wa
habari Stamford Bridge amekaririwa
akisema "I am the Happy One," .
Rekodi
ya Mourinho katika vilabu mbalimbali mpaka June mosi 2013
Team
|
M
|
W
|
D
|
L
|
W%
|
Benfica (2000)
|
11
|
6
|
3
|
2
|
55%
|
Uniao de Leiria (2001-02)
|
29
|
15
|
8
|
6
|
52%
|
Porto (2002-04)
|
124
|
90
|
21
|
13
|
73%
|
Chelsea (2004-07)
|
185
|
124
|
40
|
21
|
67%
|
Inter Milan (2008-10)
|
108
|
67
|
26
|
15
|
62%
|
Real Madrid (2010-13)
|
178
|
128
|
28
|
22
|
72%
|
Total
|
635
|
430
|
126
|
79
|
68%
|
Bosi huyo wa zamani wa Real Madrid ambaye
alichukua nafasi ya Rafael Bernitez Stamford Bridge, amesaini mkataba wa miaka
minne na amesema angependa kuwepo hapo mpaka mwisho.
Alipoulizwa juu ya kama hakujisikia
vizuri kutokutakiwa na ama Manchester United au Manchester City Mourinho aling’aka
na kusema
"Nipo pale nilipopataka kuwepo
nisingeweza kubadilisha hilo kivyovyote"
Bosi huyo huyo wa zamani wa Porto na
Inter Milan aliisaidia Chelsea kushinda mataji makubwa wakati wa uongozi wake
yakiqwemo mataji mawili ya ligi kuu ya England, mataji mawili mawili ya League
Cups na FA Cup. Ana matumaini ya kuendeleza zaidi mafanikio.
Mataji
makubwa aliyoshinda Jose
Champions
League: 2004, 2010
- Uefa Cup: 2003
- Primeira Liga (Portugal): 2003, 2004
- Premier League (England): 2005, 2006
- Serie A (Italy): 2009, 2010
- La Liga (Spain): 2012
- Taca de Portugal: 2003
- FA Cup (England): 2007
- Coppa Italia (Italy): 2010
- Copa del Rey (Spain): 2011
Mameneja
waliwahi kuifundisha Chelsea chini ya umiliki wa Roman Abramovich
- Claudio Ranieri: Sep 2000 to May 2004
- Jose Mourinho: Jun 2004 to Sep 2007
- Avram Grant: Sep 2007 to May 2008
- Luiz Felipe Scolari: Jul 2008 to Feb 2009
- Guus Hiddink: Feb 2009 to May 2009
- Carlo Ancelotti: Jun 2009 to May 2011
- Andre Villas-Boas: Jun 2011 to Mar 2012
- Roberto Di Matteo: Mar 2012 to Nov 2012
- Rafael Benitez: Nov 2012 to May 2013
- Jose Mourinho: June 2013 - present
Mourinho akipiga picha na mwenyekiti Bruce Buck (kushoto) na mtendaji mkuu Ron Gourlay (kulia)
...
No comments:
Post a Comment