KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, June 15, 2013

Suarez: Kama Barca au Real watanitaka, Nataka Liverpool wanisikilize mimi

Looking to Spain: Luis Suarez in training for the Confederations Cup
Luis Suarez akiwa mazoezini tayari kwa michuano ya Confederations Cup
Luis Suarez ameiambia klabu yake ya Liverpool kumsikiliza yeye kama vilabu vya Barcelona au Real Madrid vitamtaka katika kipindi hiki cha uhamisho wa kiangazi.

Mshambuliaji huyo bado yuko katika mkataba wa miaka mitatu ya kuwepo Merseyside lakini anasema klabu yake inapaswa kumsikiliza yeye.

Controversy: Luis Suarez was banned after allegedly biting Branislav Ivanovic (left) of Chelsea
Luis Suarez alifungiwa kucheza soka kwa kumtafuna Branislav Ivanovic (kushoto) wa Chelsea

Going to ground: Luis Suarez admits sometimes he 'tricks' too much

No comments:

Post a Comment