KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, June 15, 2013

Torres: Sitaki kwenda Barcelona...Nataka Mourinho anifanye niwe mshambuliaji bora tena.

 Back in blue: Fernando Torres wants to stay at Chelsea next season and work with Jose Mourinho

 Fernando Torres amekanusha juu ya kuataka kuelekea huku akisema kuwa ana imani kuwa Barcelona na kusema kuwa Jose Mourinho anaweza kumfanya kuwa mshambuliaji bora tena duniani.

Mshambuliaji huyo raia wa Hispania amekuwa butu katika nafasi hiyo akiwa na Chelsea tangu alipojiunga nayo kwa uhamisho wa pauni milioni £50 akitokea Liverpool mwezi January 2011.
Katika kipindi cha miezi mitatu ya mwisho ya msimu uliomalizika alionekana kuanza kujiamini na kurejesha makali yake lakini si kwa kiwango cha kutisha wakati alipikuwa Anfield.
Back in blue: Fernando Torres wants to stay at Chelsea next season and work with Jose Mourinho
Fernando Torres anataka kusalia Chelsea na kufanya kazi na Jose Mourinho

Hiding: Torres uses the umbrella to shelter from the rain as he travels with Spain to the Confederations Cup
Torres akijifunika kwa mwavuli wakati wa safarti ya kuelekea Hispania kunako michuano ya kombe la shirikisho.
 
Katika mahojiano marefu na mtandano wa habari wa AS, Torres ameelezea matarajio yake kwa msimu ujao.

Amenukuliwa akisema 
'Nataka kumalizia mkataba wangu niliosaini na kuendelea kushinda mataji na ningependa kuwa bora duniani katika nafasi hiyo tena' 

'Hakuna sehemu bora kuliko hapa Chelsea nikiwa na Mourinho.'

Chelsea ilikuwa ikisaka washambuliaji katika kipindi hiki cha uhamisho na inavyoonekana ni kwamba wote Torres na Demba Ba hawatakuwa katika nafasi ya kikosi cha kwanza.
Wshambuliaji Edinson Cavani na Robert Lewandowski bado wako katika mawindo ya klabu hiyo.
Magic touch: Torres says that he hopes Jose Mourinho can make him the world's best once again

No comments:

Post a Comment