Marquinhos akifunga bao la uongozi kunako sekunde ya 27 ya mchezo.
Jesse Lingard (kulia) alikuwa katika kiwango safi na ndiye aliyefunga bao la kusawazisha.
Maisha yanaonekana kama si mteremko kwa David Moyes Asia. Si tu kwamba meneja mpya wa Manchester United anahaha kupata saini ya kiungo wa Barcelona Cesc Fabregas, lakini pia sasa yuko katika presha ya kupoteza mchezo wa pili wa maandalizi ya kuanza kwa msimu akiwa huko Asia.
Mchezo wake wa leo umeonekana kuwa ni mgumu zaidi kuliko wa jumamosi dhidi ya A-League All-Stars mjini Sydney na inavyo onekana ni kwamba ni kama timu iko katikati ya msimu wa joto nchini Japan ikisaka ushindi katika mazingira magumu.Walianza kuwa nyuma sekunde ya 27, lakini United wakafanikiwa kusawazisha na kuongoza mpaka kipindi cha kwanza kinamalizika wakiwa mbele kwa 2-1 mabao yakifungwa na Jess Lingard na goli la pili likiwa ni goli la kujifunga wenyewe kupitia kwa mlinzi and an own goal from Marinos defender Msakazu Tashiro.
YOKOHAMA 3 MAN UNITED 2
MANCHESTER UNITED:
De Gea; Fabio, Jones, Evans (Smalling), Evra; Anderson, Cleverley, Zaha
(Giggs); Lingard (Ashley Young), Januzaj (Kagawa); Van Persie (Welbeck)
Goals: Lingard 19, Tashiro (OG) 31
Booking: Cleverley
YOKOHAMA: Enomoto, Dutra, Aguiar, Tashiro, Kobayahsi, Nakamura, Hyodo, Tomisawa, Nakamachi, Marquinhos, Sato.
Goals: Marquinhos 1, Fabio 50, Fujita 88
Goals: Lingard 19, Tashiro (OG) 31
Booking: Cleverley
YOKOHAMA: Enomoto, Dutra, Aguiar, Tashiro, Kobayahsi, Nakamura, Hyodo, Tomisawa, Nakamachi, Marquinhos, Sato.
Goals: Marquinhos 1, Fabio 50, Fujita 88
Good run out? Danny Welbeck tries to shake his marker as he hurtles towards the Yokohama goal
No comments:
Post a Comment